Joyce Kiria punguza sifa

Joyce Kiria punguza sifa

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Huyu dada kipindi anaanza alikuwa vizuri lakini siku hizi anajifanya mjuaji mwanaharakati wakati harakati zenyewe hawezi amekuwa akifarakanisha ndoa nyingi.

Huku akiwashauri wanawake waachike kama yeye hana ushauri mwingine zaidi ya kuachika.

Dada amejifika vyeo ambavyo hana sifa navyo cha kushangaza ni hili la kwenda kumtetea Mange Kimambi hakuna asiyejua jinsi huyu dada anavyotukana watu kwenye blog yake.

Sasa leo hii Joyce anatoa wapi uhalali wa kumtetea au ndo kutafuta kick na kutaka sifa za kijinga.

Elimu ina umuhimu kumbe.
 
Watu hawalingani mkuu na hata mitazamo hutofautiana...

Si lazima sana mtazamo wa mtu mmoja ulingane na ule wa wengi...

La sivyo kusingelikuwa na taaluma ya sheria na nyingine zifananazo na hizo...
 
Acha tusbirie.

Maana Kipindi chake itapote amuda sio mrefu.

Maana Hoyce Temu anafanya vizuri saana.
Na Kule Star Tv kuna mdada anakuja moto kweli.
Na Azam Tv wanakipindi kinakuja kuhusu jamii vile vile na vyote vinaendeshawa na wasomi.

Hapo ndio atajua umuhim wa Shule
 
Huyu dada ni mwanaharakati na nampa pongezi kwa kujitoa popote anapoona kuna ukandamizaji wa aina yoyote,
Keep it up joyce,
 
Huyo kila anayemwita kwenye kipindi chake ni role model wake... Ana ma role model kama hamsini hadi sasa
 
Yeye mwenyewe alishawahi kutukanwa na huyo Mange.
 
kipindi chake cha sasa hakina watazamaji kabisa bora arudi kwenye kipindi chake cha mwanzo bongo movie.
 
Mange achana na wabongo wacha wauza unga watambe, si unaona watu wanavyokunanga? Acha watoto wao waendelee kuwa mateja bana, kula maisha mdada hii bongo ya waogopa wauza sembe tuachie sie, mana ukiwapa watu live wanakwambia mgomvi. Hop umeshajifunza
 
Back
Top Bottom