Joyce Kiria: Rais Magufuli anatukubali, tupambane

Wewe unaweza kuvumilia mtu akwambie ukweli juu ya kosa unalofanya kwa kukutukana mitusi ya nguoni, akikutukania wazazi wako?!
Mkuu sijaelewa hapa unamaanisha nini, maana nimetafuta hayo unayoyasema kwenye huu uzi lakini sijayaona popote.
 
Mkuu sijaelewa hapa unamaanisha nini, maana nimetafuta hayo unayoyasema kwenye huu uzi lakini sijayaona popote.
Nimemaanisha kuwa umemtumia huyo kama mfano but umesahau mwenendo wake ni kama kuwatukana wanawake wanaharakati....
 
Nimemaanisha kuwa umemtumia huyo kama mfano but umesahau mwenendo wake ni kama kuwatukana wanawake wanaharakati....
Kama unazungumzia maisha yake binafsi nadhani mimi na wewe hatuwezi kuwa ukurasa moja.
Mwenendo wake binafsi siufahamu maana huwa sifuatilii maisha ya watu wa mitandaoni.
 
Huyu mama masikini sijui mume wake alimchanganya! Mungu amsaidie kwakweli.
 
Mwanaharakati mwenye njaa na utapiamlo wa akili,naona dada zangu wa kichanga wameanzisha taasisi za kitapeli tu kwa kujikimu kimaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…