Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hapana haijarekebishwa ila muda umefika ilipoharibikia.Yaani hapa ni saa mbovu tu imerekebishwa majira...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana haijarekebishwa ila muda umefika ilipoharibikia.Yaani hapa ni saa mbovu tu imerekebishwa majira...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu sijaelewa hapa unamaanisha nini, maana nimetafuta hayo unayoyasema kwenye huu uzi lakini sijayaona popote.Wewe unaweza kuvumilia mtu akwambie ukweli juu ya kosa unalofanya kwa kukutukana mitusi ya nguoni, akikutukania wazazi wako?!
Nimemaanisha kuwa umemtumia huyo kama mfano but umesahau mwenendo wake ni kama kuwatukana wanawake wanaharakati....Mkuu sijaelewa hapa unamaanisha nini, maana nimetafuta hayo unayoyasema kwenye huu uzi lakini sijayaona popote.
Anatafuta teuzi ya viti maalum.
Kama unazungumzia maisha yake binafsi nadhani mimi na wewe hatuwezi kuwa ukurasa moja.Nimemaanisha kuwa umemtumia huyo kama mfano but umesahau mwenendo wake ni kama kuwatukana wanawake wanaharakati....
MmhFake strong woman
No...she is a super woman...She's very strong stupid woman...[emoji41][emoji41]
Wivu umekujaa (..natania tu...😂😂).Mimi ni mwanamke lakini siwezi kumkubali huyu Ngeetwa
[emoji106]Unajua mnapoita wanawake strong woman, muwe specific on what aspects!
Ha ha haAongeze loud speaker atasikiwa
Mwanaharakati wa haki za wanawake hapa nchini Joyce Kiria the Super woman kutoka Shirika la haki za wanawake Tanzania, amewataka wanawake wote nchini kuendelea kusimama imara katika kugombea nafasi mbali mbali za uongozi mwaka huu wa 2020.
Akizungumza na vyombo vya Habari mwanaharakati huyo amesema kwamba kwa muda wa miaka mitano ya Mh Rais Doctor John Pombe Magufuli kumekua na muamko mkubwa kwa wanawake kufanya kazi kwa bidii katika nafasi walizopewa bila kuwepo na utumbuaji
Kiria amewaomba wanawake kote nchini kujitokeze kufanya mabadiliko katika kugombea nafasi mbalimbali kuanzia ngazi ya udiwani ubunge kwa lengo la kushika nafasi na kusaidiana na Makamu wa Rais katika kupambania haki na uwajibikaji wa mwanamke .
"Namshukuru Mh Rais kwa kututhamini na kutupa nafasi katika uongozi wake kutupa nafasi akiwemo Mama Samia Suluhu ummy mwalimu mama Joyce Ndalichako pamoja na wanawake wengi walioko katika wizara mbali mbali wanafanya vyema sana kusimamia haki za wanawake na maendeleo ya wa Tanzania kwa ujumla
Mwaka huu wanawake tumeona maboresho Makubwa katika vituo vya Afya, zahanati, na kupunguza matukio makubwa ya kina Mama kujifungulia njiani na kupata uduma za kitabibu kuanzia kata mpaka hospital za rufaa jambo ambalo limesaidia kupungua vifo vya Mama na mtoto"
Amefafanua kwamba licha ya serikali ya awamu ya tano kutoa kipaumbele kwa wanawake kushika nafasi za juu serikalini pia wanawake kwa sasa wanajitambua na kujituma hasa katika kujiendeleza kielimu na kutatua changamoto za kifamilia
Joyce Kiria licha ya kuwa mwanaharakati za haki za wanawake amekuwa mwanamke mwenye uthubutu wa kufatilia matatizo ya wanawake na kuyaibua katika jamii na kujizolea umaarufu mkubwa na kuaminika na baadhi ya wanawake wamekua wakiomba kuona siku moja anakua katika wizara ya Afya Maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto
Ili aweze kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi kwani amekua mfano mkubwa wa kuigwa katika kuwasaidia wanawake kujitambua na kupambana kupata haki zao pale ambapo wanadhulumiwa na hata kushindwa kupata nafasi za uwajibikaji mpaka watoe rushwa ya ngono kwa waajiri wao
Wanawake wanajitambua wanawake ni jeshi kubwa tumeaminika na tusonge mbele katika kujenga uchumi wa nchi yetu
Ha ha haMwanaharakati mwenye njaa na utapiamlo wa akili,naona dada zangu wa kichanga wameanzisha taasisi za kitapeli tu kwa kujikimu kimaisha
okMwanaharakati mwenye njaa na utapiamlo wa akili,naona dada zangu wa kichanga wameanzisha taasisi za kitapeli tu kwa kujikimu kimaisha
OkayWivu umekujaa (..natania tu...😂😂).