Joyce Kiria: Ushauri wa bure kwa akina bushoke majumbani mwetu tumewachoka

Embu wawakome wavulana wa watu, wenyewe wapo desperate kuolewa ndo maana wanawalazimisha vijana wawaoe. Kama wao ni wanawake wa shoka, kinachowafanya wajitolee wenyewe hadi mahari+ wedding clothes na vingine ni nini? Mkiwa mnataka ndoa mnajinyenyekesha weee na kuhonga mnahonga afu leo hii mnawatukana wakaka wa watu. Mtu hadi unakubali akuoe si unakuwa umeridhia mwenyewe kwamba hana kitu but ndo ushampenda?

To all marios in town, haya ma kina asha boko yakiwajia yachuneni vizuri tu afu siku ya ndoa mnasepa kama mchumba wa mheshimiwa wa geita, ya nini kujitia mkosi na ndoa mnazojua zitavunjika soon. Kama wao wana hela sana wakaolewe na wenye hela wenzao.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yaan toka Mange apate mzungu kaona dunia keshaimalizaaaa aiseee .....



Waache kuwalazimisha ndoa hao marioo maana vipesa vyenyewe vya kuhongwa kwingine ndio wanawasimangiaaa,mfyuuuuuuuu

shost kwani hukupataga ile email kwamba yule mzung ipo siku atamkimbia?huku bongo anakujaga kula dudu la mshkajj mmoja hv
 
shost kwani hukupataga ile email kwamba yule mzung ipo siku atamkimbia?huku bongo anakujaga kula dudu la mshkajj mmoja hv

He he sikuipataga aisee atakuwa kashamuweka sawa halafu wanawaponza wengine life sio hela tu bana
 
shost kwani hukupataga ile email kwamba yule mzung ipo siku atamkimbia?huku bongo anakujaga kula dudu la mshkajj mmoja hv

Niliionaga et yupo hapo kwa ajili ya pesa tu akichuma anamuacha mzungu
 
hivi huyu boya Joyce kiria mume wake zaidi ya kazi ya kula ruzuku za chadema ana shughuri gani nyingine?

sidhani kama Joyce kiria ana akili timamu, mange siwezi kumuongelea anajulikana.
 

Asante kwa ujumbe mzuri na murua.
 
naona lady jaydee kam inspire yeye alishaimba wanaume kama mabint...ina maana kilewo ndio anapewa vipande vyake taratibu hivyo?

kilewo atajuta kuoa darasa la saba halafu sijawahi kuona mchaga mwenye tabia za umbea na ushangingi kama huyu kweli dj nely alikuwa kabeba zigo la mavi mabichi kwenye mvua kubwa
 
kilewo atajuta kuoa darasa la saba halafu sijawahi kuona mchaga mwenye tabia za umbea na ushangingi kama huyu kweli dj nely alikuwa kabeba zigo la mavi mabichi kwenye mvua kubwa

Hilo zigo la mavi kweli ,Kilewo amekula wa chuya kwa huyo mtalaka wa dj Nelly.
 

Ndoa za fasheni .
 
Ndoa za fasheni .

Ndo wa-keep up na fasheni zao sasa. Sio kila siku kutokwa mapovu kama wana tenda za kuonja sumu. Si wanataka waitwe Mrs fulani at any cost, basi wakubali na kugharamika, after all ndoa wanaforce wenyewe so sioni point ya kulalamikia kina marios

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mpaka unakubali kuolewa na "marioo" muolewaji ndio mwenye tatizo
 
kilewo atajuta kuoa darasa la saba halafu sijawahi kuona mchaga mwenye tabia za umbea na ushangingi kama huyu kweli dj nely alikuwa kabeba zigo la mavi mabichi kwenye mvua kubwa

mchaga wa huko kibosho umbea kaanza kitambo tangu anaishi Ilala Sharif shamba....
na alikua na saloon yake pale mambo yalivyoenda sawa akamuachia mdogo wake N.
 
huyu si ndio alikua anasema amejiunga Telex na imemsaidia kulipia pango nyumba mumewe alikua wapi?? kampeni tokomeza Mariooo ingeanzia nyumbani kwake.

Kua na mwanamke wa dizain hiyo ndani ya nyumba, ni bora mara mia kenda ukaishi na kuku au bata ndani. Maana mbali na unafiki ni janga hata kwa mifugo na furniture utakazokuanazo ndani.
 
mchaga wa huko kibosho umbea kaanza kitambo tangu anaishi Ilala Sharif shamba....
na alikua na saloon yake pale mambo yalivyoenda sawa akamuachia mdogo wake N.

sasa huyu Henry kileo ingawa sijui umri wake mbona namuona bado kijana mdogo tu? hivi wanawake wa kuowa wameisha?

hivi mwanamke na akili zake role model wako awe mange kimambi si ni majanga haya?

huyu Henry naye ni mchaga wa wapi zezeta namna hii? huyu mwanamke ameshasahau kama zezeta lake walishaliset up na kesi ya ugaidi.
 
Hahaa nimexheka sana! Marioos ....wanazaliwa kwavile kuna baadhi yetu tunawaendekeza free pumbus!
Hivi wewe mwanamke unajilipia mahari, unanunua gauni la harusi, unanunua na suti unalipa ukumbi eti kisa uolewe...... mzima kweli wewe? Au una kasoro gani? Hujiamini?
Na waoaji wengi siku hizi ni wale desperate men wasio na kazi, akili zimelala, hata kama wameenda shule wanadream white collar jobs na maisha yamewashinda, kodi za nyumba zimewashinda, biashara wala kilimo hawataki, ila wanataka kuishi classy life! Ni wabishi hata ushauri hawakubali,!
Sisters chunguzeni sana wanaume wanaopropose huku mfukoni kuna vumbi na kichwani hamna kitu!
 
Na wewe mwanaume unaoa unahamia kwa mwanamke, hujui nyumba kaipataje, hujui gari anazoendesha kazipataje, hujui china anakoenda mara kwa mara nani ana finance, wewe unakuja na pumbus zako unataka kuweka sheria mke wa aina hii akutii???? mzima wewe kweli?
Let s be realistic! Unam question mke anayerudi saa 6 usiku huku amebeba dollars zinazokufanya uishi mjini, uendeshe gari nzuri, uvae vizuri, na huduma zote muhimu, halafu wewe huna mchango wowote? Unakua mkali? unaanzia wapi kumfokea boss wako? Ooh yes anayeprovide yeye ndiye boss! Law of nature!
 
Hahahaaa rafiki yangu hapa ananiambia inabidi aende kwenye maombi kwanini wanaomfuata kumchumbia wote hawana kazi? Hata akikaa nao kuwaeleza kazi ndiyo kitu cha muhimu wao wako biz kujifanya nitakut vizuri sana, nitakujali na kukupenda?
Fine ...... rent ya nyumba tutalipa na nini? Chakula tutapata bure kwavile tunamapenzi ya kweli? Huduma za afya je? Tukizaa watoto tutawalisha mapenzi yetu? Shule St academy watasoma bure kisa wazazi tunapendana sana? Wazazi wetu watatu exempt kwenye matunzo yao kisa tumependana sana?
Daladala tutapanda bure kisa tunamapenzi ya kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…