Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Embu wawakome wavulana wa watu, wenyewe wapo desperate kuolewa ndo maana wanawalazimisha vijana wawaoe. Kama wao ni wanawake wa shoka, kinachowafanya wajitolee wenyewe hadi mahari+ wedding clothes na vingine ni nini? Mkiwa mnataka ndoa mnajinyenyekesha weee na kuhonga mnahonga afu leo hii mnawatukana wakaka wa watu. Mtu hadi unakubali akuoe si unakuwa umeridhia mwenyewe kwamba hana kitu but ndo ushampenda?
To all marios in town, haya ma kina asha boko yakiwajia yachuneni vizuri tu afu siku ya ndoa mnasepa kama mchumba wa mheshimiwa wa geita, ya nini kujitia mkosi na ndoa mnazojua zitavunjika soon. Kama wao wana hela sana wakaolewe na wenye hela wenzao.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums