Nadhani ndiye niliyekuwa nikimngoja over all these years..nipm plz niko serious.
Hivi Dada mbona Ezdii ana Kazi na Inamwingizia kipato sasa huo Umarioo watoka wapi kama sii Uzushi??
STD seven ni shiiiiida!...Hivi kwani walilazimishwa kuolewa na hao mariooo?si kiherehere chao cha kutaka ndoa? Joy anaweza akawa anahoja nzuri tu kuwa ni muhimu wanaume kufanya kazi ila style ya kuwasilisha hoja zake ndio inatia kichefchef....arudi shule kwanza....
Love u million times! Ahsante kwa kunielewa! Nitakupm.....
Aaaaah shost we mbayaaaaaaa!!. Yani umekamata fursa fastaa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Huu ujumbe ana tumiwa nani?
Hahahaaaaa chezeya kuolewa shost! Loh sema taratiiibu basi wasije mdaka wengine wenye hitaji kama langu!
We kama sio Ezden basi una ukaribu nae , amwachie laana alimzaa.tunaishi mara moja hapa duniani mwacheni Dida afurahie maisha yake
kilewo
Joyce kiria ni mnafiki sana afanye mambo ya wanawake live ila haya ya wanaume live atuachie wenyewe.
Aaaaah shost we mbayaaaaaaa!!. Yani umekamata fursa fastaa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Duh..hilo jicho lako la tatu noma..hehe
Huyu dada anapoelekea ni kubaya! sorry kwa mume wake..Huyu Kiria anakoelekea sio harakati tena za kutetea wanawake......awe na mipaka kwa heshima ya kazi ya mume wake........kuna lugha zingine zinaleta tafsiri ya ajabu sana.....nimeona baadhi ya mipasho ya Mange anayoshabikia nimebaki mdomo wazi..........kwa heshima ya Kilewo huyu dada awe na mipaka.......
"nini wanne nitaolewa hata na mia" sentensi kama hii si kutiana aibu? :hail:
Mwanzoni anaanza kipindi chake kidogo alieleweka...! Ila wengine tulijua ni 'UJASIRIAMALI-MJINI'Nilishawahi kuandika umu kuwa uyu Joyce sio mtetezi wa wanawake kama anavyodanganya wajinga....Uyu anawatumia wanawake wenzie haswa wenye matatizo kama mtaji wa kuingizia pesa...Kuna wajinga wanaooishi kwa kuendeshwa na hisia ndio watetezi wake wakubwa, basi Ye atafanya lolote kuvutia watazamaji ili kipindi kitengeneze pesa,ikibidi ata kumuanika kideoni mtoto aliyebakwa, kinyume cha sheria....kumbukeni alikuwa House girl
Anatetea usawa wa kijinsia kati ya mwanaume na mwanamke...Ila mwanaume akizidiwa kipato na mkewe anamwita marioo,kwake mwanaume anastahili kumzidi mkewe kipato,ila mwanamke hastahili kumzidi mume iyo ni aibu,mtetezi wa usawa uyu..Tukisema arudi shule std 7 haimtoshi tunaambiwa tuna nongwa.