Joyce Kiria: Ushauri wa bure kwa akina bushoke majumbani mwetu tumewachoka

STD seven ni shiiiiida!...Hivi kwani walilazimishwa kuolewa na hao mariooo?si kiherehere chao cha kutaka ndoa? Joy anaweza akawa anahoja nzuri tu kuwa ni muhimu wanaume kufanya kazi ila style ya kuwasilisha hoja zake ndio inatia kichefchef....arudi shule kwanza....

Unajua unachotakiwa ni kupick hoja siyo mleta hoja! Nayo ni sheeedar na wewe darsa lakuhusu pia!
 
Huyu Kiria anakoelekea sio harakati tena za kutetea wanawake......awe na mipaka kwa heshima ya kazi ya mume wake........kuna lugha zingine zinaleta tafsiri ya ajabu sana.....nimeona baadhi ya mipasho ya Mange anayoshabikia nimebaki mdomo wazi..........kwa heshima ya Kilewo huyu dada awe na mipaka.......

"nini wanne nitaolewa hata na mia" sentensi kama hii si kutiana aibu? :hail:
 
Aaaaah shost we mbayaaaaaaa!!. Yani umekamata fursa fastaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hahahaaaaa chezeya kuolewa shost! Loh sema taratiiibu basi wasije mdaka wengine wenye hitaji kama langu!
 
Hahahahha haya basi sipigi kelele tena

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
We kama sio Ezden basi una ukaribu nae , amwachie laana alimzaa.tunaishi mara moja hapa duniani mwacheni Dida afurahie maisha yake

umeongea kwelu, huyu atakuwa mario edzen
 
Nilishawahi kuandika umu kuwa uyu Joyce sio mtetezi wa wanawake kama anavyodanganya wajinga....Uyu anawatumia wanawake wenzie haswa wenye matatizo kama mtaji wa kuingizia pesa...Kuna wajinga wanaooishi kwa kuendeshwa na hisia ndio watetezi wake wakubwa, basi Ye atafanya lolote kuvutia watazamaji ili kipindi kitengeneze pesa,ikibidi ata kumuanika kideoni mtoto aliyebakwa, kinyume cha sheria....kumbukeni alikuwa House girl
 
Joyce kiria ni mnafiki sana afanye mambo ya wanawake live ila haya ya wanaume live atuachie wenyewe.

Anatetea usawa wa kijinsia kati ya mwanaume na mwanamke...Ila mwanaume akizidiwa kipato na mkewe anamwita marioo,kwake mwanaume anastahili kumzidi mkewe kipato,ila mwanamke hastahili kumzidi mume iyo ni aibu,mtetezi wa usawa uyu..Tukisema arudi shule std 7 haimtoshi tunaambiwa tuna nongwa.
 
Huyu Kiria anakoelekea sio harakati tena za kutetea wanawake......awe na mipaka kwa heshima ya kazi ya mume wake........kuna lugha zingine zinaleta tafsiri ya ajabu sana.....nimeona baadhi ya mipasho ya Mange anayoshabikia nimebaki mdomo wazi..........kwa heshima ya Kilewo huyu dada awe na mipaka.......

"nini wanne nitaolewa hata na mia" sentensi kama hii si kutiana aibu? :hail:
Huyu dada anapoelekea ni kubaya! sorry kwa mume wake..
 
Nilishawahi kuandika umu kuwa uyu Joyce sio mtetezi wa wanawake kama anavyodanganya wajinga....Uyu anawatumia wanawake wenzie haswa wenye matatizo kama mtaji wa kuingizia pesa...Kuna wajinga wanaooishi kwa kuendeshwa na hisia ndio watetezi wake wakubwa, basi Ye atafanya lolote kuvutia watazamaji ili kipindi kitengeneze pesa,ikibidi ata kumuanika kideoni mtoto aliyebakwa, kinyume cha sheria....kumbukeni alikuwa House girl
Mwanzoni anaanza kipindi chake kidogo alieleweka...! Ila wengine tulijua ni 'UJASIRIAMALI-MJINI'
 
Anatetea usawa wa kijinsia kati ya mwanaume na mwanamke...Ila mwanaume akizidiwa kipato na mkewe anamwita marioo,kwake mwanaume anastahili kumzidi mkewe kipato,ila mwanamke hastahili kumzidi mume iyo ni aibu,mtetezi wa usawa uyu..Tukisema arudi shule std 7 haimtoshi tunaambiwa tuna nongwa.

Kweli shule Muhimu
 
Back
Top Bottom