LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Mkuu upo sahihi..Anamaamuzi ya kufanya chochote hilo halina ubishi. Lakini haiondoi kilichosemwa na mkurugenzi wa shirika la ndege kwamba ilikua mbovu.
LAZIMA wa celebrate Mkuu..So these guys are celebrating Magu kupanda ndege hahaha
Picha nzuri sana sanaaa
Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeeeee
Jesca wa UDOM kipindi kile ali trend sanaGeza niulize, Magufuli ana watoto? Mbona sijawahi sikia Mtanzania yeyote hapa Jf akitaja mtoto wake au mke wake.
Word walahi!Wacha kuwa mtu wa rumors n speculations! He can decide which means of transport to use. Even if he chooses to walk on foot all the way to Mwanza, it's none of business to judge!
IndeedBravo my beloved country TANZANIA.
Bravo my President JPM.
Swafiiii sana!
Hii nchi ni funny sana,
Kila kitu rais wao anafanya kazi ni kucelebrate!!!
Ushamba ata BURUNDI huwezi ona
Hahah hawa watu ni noma...UK to inaugurate Kq direct flight to the U.S. I know most Kenyans don't give a damn like they don't care and it's none of their bizniz.
Magu anapanda ndege kutoka dar mpaka mwanza na hatupumui humu ndani!!! hehee
enyewe,,, kama vile mdau mmoja aliwahi sema hapa kuwa kila mmoja asherehekee kwa level yake,,, sasa ndio wakati mwafaka wa kukubaliana naye 100%.
Mods tafadhalini ondoeni watz kwa Kenyan section. Kenyans are known to be intelligent but it's unfortunate I can't say the same to the Tanzanians in here who behave like primates
some of the threads and comments i read in here makes me smh.Hahah hawa watu ni noma...
Kazi ni kuaibisha east Africa
Coco bhana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tabu ipi sasa. Wanawashangaa na ushamba wenu kandege kamoja kelele mingi mngekuwa na hata 5 si dunia mzima ingepata tabu. Watanzania tuache mdomo wakenya siyo level yetu na pia naona washaona ni upumbavu kujilingnisha na Tanzania ndo maana huwa wanapiga kimya mnaachwa mbishane wenyewe Kama mazuzuWakenya watapata taabu sana.
The difference between us and you is our the most interconnected solidarity of the nation, we have the pure common bound of loyalty and patriotism to our country the world has ever experienced and that's legacy Nyerere built into this nation for his entire life.Hahah hawa watu ni noma...
Kazi ni kuaibisha east Africa