JPM boarded dreamliner to Mwanza

JPM boarded dreamliner to Mwanza

UK to inaugurate Kq direct flight to the U.S. I know most Kenyans don't give a damn like they don't care and it's none of their bizniz.
Magu anapanda ndege kutoka dar mpaka mwanza na hatupumui humu ndani!!! hehee
enyewe,,, kama vile mdau mmoja aliwahi sema hapa kuwa kila mmoja asherehekee kwa level yake,,, sasa ndio wakati mwafaka wa kukubaliana naye 100%.

Mods tafadhalini ondoeni watz kwa Kenyan section. Kenyans are known to be intelligent but it's unfortunate I can't say the same to the Tanzanians in here who behave like primates
Mkuu tusamehe. Kiukweli najisikia aibu mimi binafsi Kama mtizii
 
Tabu ipi sasa. Wanawashangaa na ushamba wenu kandege kamoja kelele mingi mngekuwa na hata 5 si dunia mzima ingepata tabu. Watanzania tuache mdomo wakenya siyo level yetu na pia naona washaona ni upumbavu kujilingnisha na Tanzania ndo maana huwa wanapiga kimya mnaachwa mbishane wenyewe Kama mazuzu
Mmmmh peleka huko shombo
Kwani nani anajilunganisha nao?
Sisi level yetu ni US na UK 🇬🇧
 
Tabu ipi sasa. Wanawashangaa na ushamba wenu kandege kamoja kelele mingi mngekuwa na hata 5 si dunia mzima ingepata tabu. Watanzania tuache mdomo wakenya siyo level yetu na pia naona washaona ni upumbavu kujilingnisha na Tanzania ndo maana huwa wanapiga kimya mnaachwa mbishane wenyewe Kama mazuzu
Ka sentesi kangu kamoja ndiko kamekutoa povu hivi. Hakika unapata taabu sana.
 
Hahaha mtapata tabu sana chadomo kila kona mnanyukwa
Wananchi wameamua kuwawekea ngumu
Nendeni mkatambiane na burundi forum au Uganda forum kenya wanapiga root ndefu siyo size yetu
 
Nendeni mkatambiane na burundi forum au Uganda forum kenya wanapiga root ndefu siyo size yetu
Kenya is failed and broke state labda kama huijui Kenya inside and out

Tanzania 🇹🇿 ipo na Kenya 50 ndogo ndogo,
 
Mkuu upo sahihi..
Ndege ilikuwa mbovu kwa siku 3..tarehe 14,15,na 16.
Ilianza kuruka jana.
Huo ndio ukweli.
Unazi huo ndege haikuwa mbovu Bali Ilikuwa ikiupdetiwa baadh ya technology Kama Wi-Fi na hilo mafund WA Boeing wenyewe ndo walipendekeza ufanyike mapema . Halaf ndege sio Kama vyombo vingne vya usafir Haswa Kama ni Mpya inaundergo series of testing...
 
Back
Top Bottom