JPM boarded dreamliner to Mwanza

Mkuu tusamehe. Kiukweli najisikia aibu mimi binafsi Kama mtizii
 
Mmmmh peleka huko shombo
Kwani nani anajilunganisha nao?
Sisi level yetu ni US na UK πŸ‡¬πŸ‡§
 
Ka sentesi kangu kamoja ndiko kamekutoa povu hivi. Hakika unapata taabu sana.
 
Hahaha mtapata tabu sana chadomo kila kona mnanyukwa
Wananchi wameamua kuwawekea ngumu
Nendeni mkatambiane na burundi forum au Uganda forum kenya wanapiga root ndefu siyo size yetu
 
Nendeni mkatambiane na burundi forum au Uganda forum kenya wanapiga root ndefu siyo size yetu
Kenya is failed and broke state labda kama huijui Kenya inside and out

Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ipo na Kenya 50 ndogo ndogo,
 
Mkuu upo sahihi..
Ndege ilikuwa mbovu kwa siku 3..tarehe 14,15,na 16.
Ilianza kuruka jana.
Huo ndio ukweli.
Unazi huo ndege haikuwa mbovu Bali Ilikuwa ikiupdetiwa baadh ya technology Kama Wi-Fi na hilo mafund WA Boeing wenyewe ndo walipendekeza ufanyike mapema . Halaf ndege sio Kama vyombo vingne vya usafir Haswa Kama ni Mpya inaundergo series of testing...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…