Ila ukweli utabaki JPM ndiyo mwenye bwawa lake hapa kongole kwake huyu mama mnywa damu hakuna mradi wowote wa kimkakati aliobuni hata mmoja kwa akili zakeNa alipingwa kila mahala.
Kivipi mkuuNa alipingwa kila mahala.
Huwezi kuzuia mto kwa mikono hapo ni kukubali tu kuwa JPM ndiyo alithubutu kujenga hilo bwawa licha ya kelele za nje na ndaniHakunaga kujisahau kwenye makusudi..
Naunga napinga hojaIla ukweli utabaki JPM ndiyo mwenye bwawa lake hapa kongole kwake huyu mama mnywa damu hakuna mradi wowote wa kimkakati aliobuni hata mmoja kwa akili zake
Kwani mkuu wakati inatangazwa kuanza ujenzi wa hilo bwawa hukuwepo duniani? Kuna nungunungu kama nape Muhongo makamba jr na watu wa huko ughaibuni walipinga sana huo ujenziKivipi mkuu
Unaunga wapi na unapinga wapi?Naunga napinga hoja
Sasa ndo nimeelewa. Ni kosa kwenye kusoma, niliona umeandika "kupigwa"Kwani mkuu wakati inatangazwa kuanza ujenzi wa hilo bwawa hukuwepo duniani? Kuna nungunungu kama nape Muhongo makamba jr na watu wa huko ughaibuni walipinga sana huo ujenzi
Pamoja kamandaSasa ndo nimeelewa. Ni kosa kwenye kusoma, niliona umeandika "kupigwa"
Ukweli ndio huo, huyu mama sioni mradi aliobuni hata mmoja.Ila ukweli utabaki JPM ndiyo mwenye bwawa lake hapa kongole kwake huyu mama mnywa damu hakuna mradi wowote wa kimkakati aliobuni hata mmoja kwa akili zake
Umesema jambo la msingi sana. Tuwe wakweli tu, bila kuingiza ushabiki wa kisiasa. Ni kweli kabisa kwamba hili lilikuwa ni wazo la muda mrefu la Mwalimu Nyerere, lakini JPM ndiye aliyelifanyia kazi kwa msukumo mkubwa na kulitoa kwenye hatua ya ndoto na kulipeleka kwenye utekelezaji.Salaam!
Ni kweli,hii ni ndoto ya Mwalimu Nyerere iliyobadilishwa kuwa uhalisia na Rais wa awamu ya tano ndugu JPM ambaye alimwachia kiti chake Daktari SSH.
Ajabu katika Kila kinacjofanyika hakuna mtu anataka kulitaja jina la mtekelezaji wa ndoto.Wasemaji wote wanaanzia Kwa Mwalimu Nyerere na kuruka mpaka Kwa SSH.
Hii inatakafarisha sana.
Alipingwa mpaka jina lake hadi leo hiiKivipi mkuu
Unachosema ni kweli mimi mwenyewe nimesikiza hotuba yote mwanzo mwisho hakuna sehumu waliyomtaja Magufuli wanaanza kwa Mwalimu wanaruka kwa SamiaSalaam!
Ni kweli,hii ni ndoto ya Mwalimu Nyerere iliyobadilishwa kuwa uhalisia na Rais wa awamu ya tano ndugu JPM ambaye alimwachia kiti chake Daktari SSH.
Ajabu katika Kila kinacjofanyika hakuna mtu anataka kulitaja jina la mtekelezaji wa ndoto.Wasemaji wote wanaanzia Kwa Mwalimu Nyerere na kuruka mpaka Kwa SSH.
Hii inatakafarisha sana.
Na wote hao jana walimuwepo kwenye uzinduziKwani mkuu wakati inatangazwa kuanza ujenzi wa hilo bwawa hukuwepo duniani? Kuna nungunungu kama nape Muhongo makamba jr na watu wa huko ughaibuni walipinga sana huo ujenzi