MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
Lissu na Magufuli walikuwa na vitu vingi sana vya kufanana kuliko hata Lissu na Mbowe.
Mojawapo ni uchungu wa dhati wa rasimali zetu na kupenda kusema ukweli.
Mbowe kwa upande mwingine anafanana na Samia.
Lakini kwa maajabu ya Dunia Lissu na Mbowe wakawa upande mmoja wakati huohuo Samia na Magufuli wakawa upande mwingine