Lisu hapana, ni Puppet kama yule wa Brazil aliyeenda kujitangaza mshindi akiwa marekani, kama Netanyahu, kama Selemani pale Ukraine...
Hana sifa hizo za kumringanisha na Mwamba, yeye mwenye anafahamu hilo katika nafsi yake kuwa ni Puppet..
Na anafahamu kaitenda kazi yake vizuri mno, tena sana..