The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Hii ilikuwa nyenzo yenye nguvu sana aliyowahi kuwa nayo. Watu walivutiwa kumsikiliza kwa kuwa pamoja na kuwa alikuwa mkali,, bado alikuwa na mizaha na vichekesho vingi katikati ya hotuba zake.
Ilivutia wananchi wamsikilize kwa makini kwa sababu huwezi kujua ni wakati gani ataongea vitu vituko nje ya script. Watu waliacha kazi zao kumfuatilia anasema nini.
Hotuba zake zilikuwa burudani na dawa ya kutia matumaini kwa wananchi waliokosa matumaini.
Mama yetu daah watu wanabaki kusinzia tu na kuhesabu masaa ya kuondoka akiwa ana hutubia. Hana Aura kabisa.