JS Kabylie ya Algeria yatangaza kumsajili nyota wa Tanzania, Alphonce Mabula

JS Kabylie ya Algeria yatangaza kumsajili nyota wa Tanzania, Alphonce Mabula

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Nyota wa Tanzania Alphonce Mabula amejiunga rasmi na klabu ya JS Kabylie ya Algeria.

Mabula awali alihusishwa na kujiunga na mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Young Africans SC (Yanga SC) katika dirisha kubwa la usajili, lakini hatimaye ameibukia JS Kabylie.

Usajili huo unamuweka Mabula katika hatua mpya ya maisha yake ya soka, akitarajia kuendelea kuonyesha uwezo wake katika ligi ya Algeria.

Screenshot 2026-08-31 210436.png
 
Back
Top Bottom