JSL Consultant: Tunasajili biashara, kampuni, NGO kwa bei nafuu

Kusajili jina la biashara Brela ni shilingi ngapi? Na iwapo jina linafanana na mtu mwingine, kuna gharama zitaongezeka?
 
Kusajili jina la biashara Brela ni shilingi ngapi? Na iwapo jina linafanana na mtu mwingine, kuna gharama zitaongezeka?

Kusajili ni 60,000 pamoja
Kama likifanana lazima libadilishwe na gharama haiongezeki

Tupigie 0748220018
 
Kusajili jina la biashara jumla ni 60,000 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…