JSL Consultant: Tunasajili biashara, kampuni, NGO kwa bei nafuu

JSL Consultant: Tunasajili biashara, kampuni, NGO kwa bei nafuu

Halo mkuu Kuna leseni za biashara za mazao ya nafaka, ambazo zinaruhusu kusafirisha na kuuza popote ndani ya Tanzania. Je upatikanaji wake ukoje pamoja EFD machine.
 
Hakuna nisichokijua hapo japo sina kampuni... Ila mm ni zaidi ya kampuni!

Karibu Samora Avenue, TRA pembeni ya EMMANUEL'S OUTFITS... Ofisi ni mtu niliposimama!
Ungeanzisha uzi wako ingependeza zaidi kuliko kuja kuharibu uzi wa mwenzako, punguza ujuaji.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • images (29).jpeg
    images (29).jpeg
    5.8 KB · Views: 3
  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    8.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom