Mimi ni kijana nimekuelewa sana na najua uandishi wa vifupi na uhuni kuliko hata wewe lakini si vema kuandika habari itakayosomwa na wazazi, kundi rika , wazee kwa uandishi huu ndugu ujumbe wako mzito lakini unaboa.
Narudi kwenye mada, achana na huyo mwanamke... mie nimekutana na hiyo hali na nikaacha ninatazama future zaidi... unafikiri ukimrudia ndo ataachana nao? yani huyo si kwamba hujui kumpa tamu...big no ila yeye hajisikii kuwa mwanamke kama hafunuliwi uchi wake na wanaume tofauti tofauti...! ila kama umependa rudi ukijua hata awe na miaka 50 atakuja ku-do hadi na houseboy wako...!
Nice share!
Pole sana I know how it pains!