Jtahd upitie inaweza kuwa msaada kwako pia.

Jtahd upitie inaweza kuwa msaada kwako pia.

You sound better young brother, but your art's confusing others. Very sory for what happening to you. Take it as a challenge and move on...
 
mi nisingiweza kuwa rafiki yake, alikua na nafas ya kuwa GF or Wife basiii
 
Hawa ndo wasomi wetu!!
Wahuni huni!
Unaandika kihuni huni!
 
You are not oriented, HIGH Speed in -ve direction. Jipange upya.
 
Piga chini ndugu yangu dont waste ur time, dalili umeshaziona.
Kifupi ni kuw huyo mwanamke yawezekana alibadilika kabla ya ninyi kuseperate kwa mara ya kwanza so alikuwa anatafuta visingizio na unaweza kukuta hata huko kuudhika kwako yeye ndiye alikusababishia tena yawezekana alifanya makusudi ili wewe uudhike umwache ndo mana within 2 weeks akawa na mtu gadi kusex nae na kiukweli walishasex even before you separated. Kaa chini ujue namna ya kufanya lakini kama bado hamjaoana napendekeza usiendeleze chochote, fanya utaratibu wa mtu mwingine kwa ajili ya maisha yako ya baadae.
Thanks
 
Siku nyingine lazima ujue kuandika ukiwa Fb na ukiwa Jf. Kwa kifupi hakuna demu utakayekuwa unapiga peke yako, demu wako ni wako pale tu unapokuwa naye, mkiachana tu anakwenda kwa msela mwingine. hiyo ndiyo hali halisi.
 
Halafu wageni wakipewa kazi zetu tunaanza kupiga kelele. Hichi ni kiswahili, kiingereza au pijini? Sort your issues with language then come again?
 
Ndio mana wanakut*mbea!! hata kuandika hujui .........hapa siyo FB hapa ni JF.
 
Ni kweli mpenzi yana nguvu lakini lakini usipoweza kuya control utaumbuka;
nalipokuwa mtoto niliwaz kama mtoto lakini sasa..............
 
Mimi ni kijana nimekuelewa sana na najua uandishi wa vifupi na uhuni kuliko hata wewe lakini si vema kuandika habari itakayosomwa na wazazi, kundi rika , wazee kwa uandishi huu ndugu ujumbe wako mzito lakini unaboa.

Narudi kwenye mada, achana na huyo mwanamke... mie nimekutana na hiyo hali na nikaacha ninatazama future zaidi... unafikiri ukimrudia ndo ataachana nao? yani huyo si kwamba hujui kumpa tamu...big no ila yeye hajisikii kuwa mwanamke kama hafunuliwi uchi wake na wanaume tofauti tofauti...! ila kama umependa rudi ukijua hata awe na miaka 50 atakuja ku-do hadi na houseboy wako...!

Nice share!
Pole sana I know how it pains!
 
Back
Top Bottom