Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

Hizi kabla hujaanza kuuliza hizi haki zako wanawaweza kuwa wameshakuvunja miguu...maana hata wao naamini hawazijui/wamezisahau....hawakufunzwa kabisa...wengi hasa wa patrol wamefunika number zao za u askari kiasi kwamba huo muda wa kumuuuliza number yake atakuwa kashakuvuruga vya kutosha.

La Msingi ni kujiepusha kuingia ndani ya mikono yao kadri uwezavyo.
 
Sasa hivi utaitwa mchochezi,hili Neno inabidi tupate tafsiri yake, linachanganya sana siku hizi.
Kaz bado zinaendelea

 
Sheria ni nzuri lakini kwa nchi yetu hii ya Tanzania na afrika kwa ujumla bado sheria hii haizingatiwi vyema hasa polisi.
 
Nihayo tu
 
mtu anakamatwa kwa kushiriki kwenye maandamano eti kwa mtandao? askar yule anamhenyesha mbele ya kamera tarehe 26/4/ utakuwa wapi? ghhhhhhhhh. polisi hawa wa ccm hovyo kabisa
 
Embu siku ukipekuliwa na polisi kataa halafu mwambie mpaka umpekue wewe,halafu ulete mrejesho!!
 
 
1. Je , ni hatua gani za kuchukua iwapo askari amevunja kati ya izo haki zangu?

Ingekuwa vizurii atakaye jibu aonyeshe na taratibu za kufuata.

2. Naombeni mtu atume mfano wa Search warranty kwa maana watu wengi tunatapeliwaa?

Msinicheke kwa sababu tokea nimezaliwa sikijui kituo cha polisii..


3. Je, izo haki zinapatikana seheme gani katika katiba kwa sababu Wengine hatujui / hatujawahi kuisoma hata katiba?

Kama ipo imbara , kifungu ,sijui sehemu mtuambiee
 
Naomba kujua kama first kit ni lazima uwenayo kwenye gari saloon car na sio ya biashara. Manake traffic wanatoza fine kama huna
hahitajiki First Aid kit kwenye gari binafsi
 
Habari za asubuhi wanajamvi wenzangu, kupitia mtandao wa whatsapp kyna ujumbe unasambaa, ujumbe huu unaelezea iwaje endapo utakamatwa na askari, yaani unaelezea haki zako pindi askari akija kukukamata.
Mimi si mjuzi wa hizi sheria za kipolisi , nimeona ni vyema ni share na wanajamvi wenzangu kwa elimu zaidi kwa kuwa naamini hapa jf ni kisima cha maarifa.
Karibuni wajuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…