Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,016
- 6,310
Polisi akikuambia Kaa chini kwann tu usikae, kwani ukikaa unakufa?Lakini polisi wetu hawajui huio utaratibu wao wakifika ni "kaa chini" na kufuatiwa na virungu kisha wanakwambia utajibu mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi akikuambia Kaa chini kwann tu usikae, kwani ukikaa unakufa?Lakini polisi wetu hawajui huio utaratibu wao wakifika ni "kaa chini" na kufuatiwa na virungu kisha wanakwambia utajibu mbele
Police force(force=nguvu), jiandae kukumbana na nguvu pale inapobidi... Hakuna namnaAskari wetu hawafuati hizi sheria sio kwa kosa lao, hapa ntailaumu serikali, maaskari wanapata mafunzo ya ovyo, wanarush~rush tu then wanaingia kazini, wangekua wanafundishwa vizuri hizi sheria na kuzikazia ili umuhimu wake uonekane wangezifata, tena walitakiwa wachukuliwe hatua za kisheria kama wataenda kinyume, maaskari wangezifata hizi kirahisi tu. Watu nao inabidi watangaziwe hata kwenye tv mara kwa mara wajue, na iwepo institution ya kuwatetea wananchi ambao wamekua victims wa askari wasiofuata sheria.
Serikali yetu kama sasa hivi inakaribia kua ka ya kidikteta hili haliwezekani, kauli za "kamata kwanza tutafix baadaye" hizi sheria zitabaki kwenye karatasi tu.
Sasa virungu na vya nini? Lazima ajitambulishe na asema kwanini anataka kunikama na kwa kosa gani. Mambo mbengine haya hitaji nguvu ni kumwambia tu mtu aende mwenyewe kituoni anahitajika lakini wao ni nguvu tu!Polisi akikuambia Kaa chini kwann tu usikae, kwani ukikaa unakufa?
Police force(force=nguvu), jiandae kukumbana na nguvu pale inapobidi... Hakuna namna
Msiwafanganye Raia wema na Ideology zenu za kale nipe maana ya kituo cha USALAMA ungekuwa dereva aliyeleta ajali au uliyesingiziwa uhalifu km mgoni au mwizi kumbe unasingiziwa ndipo ungeona Kituoni POLISI ni peponiHii ideology ndio maana hatuendelei, nguvu pale inapobidi sijakataa, ila situations za kutumia nguvu ni kama mtu ana silaha, ila kukamata watu ovyo na kuanza kuwapiga huku bado hawajahukumiwa its stupid na mtu mwenye akili mbovu ndio ataona ni sawa.
Msiwafanganye Raia wema na Ideology zenu za kale nipe maana ya kituo cha USALAMA ungekuwa dereva aliyeleta ajali au uliyesingiziwa uhalifu km mgoni au mwizi kumbe unasingiziwa ndipo ungeona Kituoni POLISI ni peponi
Bila Traffic gari ndogo na pikipiki zisingekuwepo
Bila Fraud Officer huko makazini usingebaki kitu
Hakuna watu wabaya km wanasheria Advocate maana wanaomba / wanadai hela kuliko POLISI
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
- Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe kwako.
- Mwulize jina lake
- Mwulize namba yake ya uaskari
- Raia ana haki ya kujulishwa kwanini anatiliwa mashaka ama kukamatwa.
- Raia ana haki ya kuwajulisha ndugu, jamaa ama sehemu anakofanyia kazi kwamba ama amekamatwa na polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa.
- Raia ana haki ya kuomba na kupewa dhamana wakati akiwa kituo cha polisi ama Taasisi ya kuzuia rushwa.
- Hutakiwi kutoa fedha kama dhamana uwapo kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa, isipokuwa maelezo utakayoandika.
- Raia ana haki ya kuwaeleza polisi ama Maafisa wa Kuzuia Rushwa kwamba lolote atakalosema linaweza kutumiwa kama ushahidi mahakamani, na asiburuzwe kuandika tu.
- Raia ana haki ya kuomba Wakili wake awepo kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa wakati anatoa maelezo yake.
- Raia ana haki ya kuyasoma kabla ya kutia sahihi yake.
- Raia ana haki ya kudai risiti ya orodha ya vitu vyake/fedha zake alizozitoa ama kukabidhi kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa.
- Raia kama ni mwanamke ana haki ya kupekuliwa na polisi wa kike, na iwapo hakuna polisi mwanamke, basi mwanamke yeyote na vile vile kwa mwanamume.
- Raia ana haki ya kufikishwa mahakamani katika muda usiozidi saa 24 tangu alipokamatwa na kufikishwa kituo cha polisi.
Kwani ww ni ModeratorMkuu we polisi nini? Kama hujawahi experience kitu tulia, sio kila unayeongea naye JF ni hooligan, naona una shida na wanasheria, hapa tunaongelea kitu tofauti usigeuze mada
mkuu asante sana kwa thread nzuri kama hii. naomba pia nifahamu ni hatua gani ambazo mtuhumiwa anaweza kuzichukua endapo askari polisi atakiuka moja kati ya taratibu hizo..........mtuhumiwa anapaswa kumchukulia polisi hatua gani???????
- Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe kwako.
- Mwulize jina lake
- Mwulize namba yake ya uaskari
- Raia ana haki ya kujulishwa kwanini anatiliwa mashaka ama kukamatwa.
- Raia ana haki ya kuwajulisha ndugu, jamaa ama sehemu anakofanyia kazi kwamba ama amekamatwa na polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa.
- Raia ana haki ya kuomba na kupewa dhamana wakati akiwa kituo cha polisi ama Taasisi ya kuzuia rushwa.
- Hutakiwi kutoa fedha kama dhamana uwapo kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa, isipokuwa maelezo utakayoandika.
- Raia ana haki ya kuwaeleza polisi ama Maafisa wa Kuzuia Rushwa kwamba lolote atakalosema linaweza kutumiwa kama ushahidi mahakamani, na asiburuzwe kuandika tu.
- Raia ana haki ya kuomba Wakili wake awepo kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa wakati anatoa maelezo yake.
- Raia ana haki ya kuyasoma kabla ya kutia sahihi yake.
- Raia ana haki ya kudai risiti ya orodha ya vitu vyake/fedha zake alizozitoa ama kukabidhi kituo cha polisi ama Taasisi ya Kuzuia Rushwa.
- Raia kama ni mwanamke ana haki ya kupekuliwa na polisi wa kike, na iwapo hakuna polisi mwanamke, basi mwanamke yeyote na vile vile kwa mwanamume.
- Raia ana haki ya kufikishwa mahakamani katika muda usiozidi saa 24 tangu alipokamatwa na kufikishwa kituo cha polisi.
**NJE YA MADA KIDOGO**

Raia ana haki ya kujua elimu ya anayemkamata
Kaka umeongea ukweli ila wachache tunaujua big up.Hizo haki na nyingine nyingi tu Zinavunjwa kila leo na polisi. Ama kwa makusudi ama kwa wao polisi kudhani wako juu ya sheria. Kwa nchi kama Tanzania Polisi hujifanya mahakimu. nitajie aliywahi kulalmikia kuhusu unyanyasaji wa polisi na akashinda! sana sana polisi wakibaini mwenzao kacheza Faul basi ni quick transfer! Hayo labda ughaibuni. Maana Polisi waweza kuwakoromea mpaka wakaingia mitini!! as afar as wakigundua kuwa kuwa wajua haki zako. Jifanye kujua hakia zako katika vituo vya Polisi Tanzania uone vijana wa Said Mwema watakavyokurarua na virungu!!
Nini kifanyikewana jf kuna jambo huwa lina niumiza kichwa tena kwa nchi hii ya tanzania.
polisi hunapo mueleza kisheria au kujua wajibu wako kisheria hapo ndipo adui yako.
ukimtajia wajibu wake au kapindisha basi jibu lake "unijifanya unajua sheria".
wana jf...?