Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

Hizo haki na nyingine nyingi tu Zinavunjwa kila leo na polisi. Ama kwa makusudi ama kwa wao polisi kudhani wako juu ya sheria. Kwa nchi kama Tanzania Polisi hujifanya mahakimu. nitajie aliywahi kulalmikia kuhusu unyanyasaji wa polisi na akashinda! sana sana polisi wakibaini mwenzao kacheza Faul basi ni quick transfer! Hayo labda ughaibuni. Maana Polisi waweza kuwakoromea mpaka wakaingia mitini!! as afar as wakigundua kuwa kuwa wajua haki zako. Jifanye kujua hakia zako katika vituo vya Polisi Tanzania uone vijana wa Said Mwema watakavyokurarua na virungu!!
kweli kabisa
 
Sio kwamba wana haki, bali ni maelekezo ya sheria askari kumwambia mshukiwa sababu za kukamatwa kwake. Na si lazima Polisi mkamataji akaondoka na mshukiwa wake, Polisi anaweza kutangulia, mshukiwa akamfuata mwenyewe kituoni.
 
Back
Top Bottom