Jua haya kwa usalama was kiafya

Ni kweli pastic inayolainika kwenye joto ni mbaya sana kwa afya, hivyo tumia plastick kwa matumizi mengine na siyo kwa chakula.
 
Huo ni ukweli..Cancer inasababishwa na ,pamoja na sababu zingine,na kemikali ziitwazo carcinogens ambazo zina uwezo wa kuactivate cancer causing genes (proto-oncogenes) au kudeactivate cancer inhibiting genes(tumor suppresor genes)

Some of the well known carcinogens ni polymers contained in plastic material

Hivyo mie naona kuna ukweli hapo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…