Jua kali tamthilia wamezingua sana

Wakenya wanetuacha sana kwenye tamthilia na uigizaji. Kwanza wao ishu za ngono sio ishu kabisa. Wana mengi ya kutusimulia
 
Bongo content ili iuze ni ngono tuu, angalia Ht hao content creators wote wanazungumzia mapenzi tuu mana kichwani kuna hewa tuu
 
Hapo namjua huyo biggie mweusi tu
Mie niliacha kuangalia hizo nikiwa mdogo...siku hizi ukiona naangalia TV labda ni mpira tu
Oukay,. Kwajili yangu ukipata mda kama unaa Android download swahiliMax Then search hiyo tamthilia kuanzia Season one uangalie visa vyake ,. Halafu uniambie

Nikupe mda gan??πŸ§πŸ€“
 
Oukay,. Kwajili yangu ukipata mda kama unaa Android download swahiliMax Then search hiyo tamthilia kuanzia Season one uangalie visa vyake ,. Halafu uniambie

Nikupe mda gan??πŸ§πŸ€“

Nitajaribu but siwezi kupromise kwasababu sio aina ya vitu napendelea
 
Hii tamthilia imeanza kupoteza mvuto na wasipokua makini watapitwa na kombolela maana sikuizi ina mashabiki wengi sana
Kombolela na Zahanati ya kijiji ndo favors tamthilia kwangu.

Zinafuatwa na Kapuni, Fungu langu, Lawama.

Kosa 1 ilifika hatua waliharibu.
 
Kombolela na Zahanati ya kijiji ndo favors tamthilia kwangu.

Zinafuatwa na Kapuni, Fungu langu, Lawama.

Kosa 1 ilifika hatua waliharibu.
Fungu langu nayo ni nzuri sana,.
Sahizi Jua inapoteza uhalisia uliokua nao mwanzo,. Wafanye tu kuimaliza
 
Yaani inashangaza sana tangu Maria aanze kucheat miaka hiyo mpaka leo hajakamatwa na mimba ndiyo hiyo inazidi kukua, ile za mwizi arobaini naona kwao haipo kabisa
 
Toka lini kombolela ikawanyuma ya juakali?
Naona season1 watu hawakua wanaifatilia sana kama wanavyofatilia saizi season2.. Kipindi hiko Juakali ndio ilikua ya moto ila saizi haina tena uhalisia na mvuto pia watu hata hawaizingatii sana
 
Niliacha kuitazama, matukio enyewe hayaeleweki, inachosha, mimba haikuii, Lol
Ujue mimba ya maria ina mwaka kabisa jamani Loh!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwanza tu alivyotoka mimi mars ndio baasi,. Frank nae kama hana akili nzuri limtu linacheatiwa na kudanganywa kila siku,. Tuje kwa Anna nae visa ni vilevile kila siku
 
Huyu director simulizi zake zote nilizobahatika kuziona ni full uzinifu hata ile riwaya ya KAPUNI haikuisha vzr pia ilijaa lana tupu
 
Siku za hivi karbun nimekuwa mvivu kuangalia tamthilia labda hadi lig ziishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…