Jua kesho tarehe 21 Machi litaingia Ikweta, Masika kuanza

Joto la usiku wa kuamkia leo jumatatu lilikuwa taabu tupuu

Meamka kunywa majii mara 2 wapii, nkabaki kuzunguka ndani adi asubuhii

Kwa msimu huu wa joto mnashauriwa mle vyakula vizivyokuwa na chumviii kabsaaaa
 
Maisha haya, acha tu! Enzi hizo unakariri haswa. Sasa hivi hii elimu hata sijawahi kuitumia kwenye taaluma yangu ya kazi🤔
 
Huku sisi tunaona Masika yanaisha isha....wewe unatwambia yanaanza... kweli kusoma sana huuchosha mwili
 
Mkuu uko vzr Sana Jana mkoan Lindi mvua kubwa Sana Imenyesha Asante Sana btw umenigusa kwenye field yangu..now tunakwenda kupima high flow mmbemkuru,lukuledi na RUVUMA so mkuu wa kitengo aandae dokezo watu twende site [emoji39][emoji39]
 
Basi hizo terminology O level zinasumbua mno, asante leo nimezielewa kwa dakika chache tu

Karibu Sana Mkuu

Bado kuna kiistilahi kinaitwa solstice(tanka Solistesi)
Ambalo usiku unakuwa mrefu kuliko mchana nyakati za baridi(winter) na pia mchana unakuwa mrefu kuliko usiku nyakati za kiangazi(summer).

Hutokea mwezi Juni 20,21
Pia mwezi December 20,21
 
Mkuu uko vzr Sana Jana mkoan Lindi mvua kubwa Sana Imenyesha Asante Sana btw umenigusa kwenye field yangu..now tunakwenda kupima high flow mmbemkuru,lukuledi na RUVUMA so mkuu wa kitengo aandae dokezo watu twende site [emoji39][emoji39]

Nashukuru Sana Mkuu. Hiyo ni Jiografia tuu.

Mvua za Vulia ambazo hutarajiwaga kuanza mwezi 10 katikati mpaka wa Kwanza huwaga chache mno ukilinganisha na mvua za masika.

Watu wanachangamka hasa Vijana wa siku hizi, Wazee WA zamani wanajua hili ndio maana walipanda mazao yasiyohitaji mvua nyingi nyakati za vuli
 
Maisha haya, acha tu! Enzi hizo unakariri haswa. Sasa hivi hii elimu hata sijawahi kuitumia kwenye taaluma yangu ya kazi🤔

Sasa hivi ndio nimeelezea kifupi uitumie kwenye mizunguko yako.
Jiografia ni maisha halisi.
Ukitazama anga, Hali ya hewa na tabia ya nchi, miundo mbinu, mavazi uvaayo, Nyumba zilivyojengwa yote ni application ya jiografia Mkuu
 
Joto la usiku wa kuamkia leo jumatatu lilikuwa taabu tupuu

meamka kunywa majii mara 2 wapii, nkabaki kuzunguka ndani adi asubuhii

kwa msimu huu wa joto mnashauriwa mle vyakula vizivyokuwa na chumviii kabsaaaa

Naam Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…