Jua kesho tarehe 21 Machi litaingia Ikweta, Masika kuanza

Jua kesho tarehe 21 Machi litaingia Ikweta, Masika kuanza

'Athari za kiafya zinazoweza kujitokeza;
1. Watu kuumwa kifua na mafua kutokana na wengi kulala usiku wakiwa wamepunguza vyakujifunika, ilhali nyakati za usiku wa manane Hali ya hewa hubadilika na kuwa ya baridi. Hivyo mapafu huingia unyevuunyevu kutokana na baridi'.Kwa hili la athari za kiafya nakuunga mkono asilimia100...

Naam Mkuu
 
Dunia haiwezi jilengesha ikweta Boss ilhali ikweta ipo kwenye Dunia yenyewe.

Kutokana na Dunia kujizungusha katika mhimili wake hii itasababisha leo Jua likae Ikweta.

Ikweta ni imaginary Line inayogawanya dunia katikati katika Vizio Sawa viwili, ambavyo ni Kizio cha kaskazin na kizio cha Kusini.
Kizito cha kaskazini huitwa Tropical of Cancer wakati kizio cha Kusini kikiitwa Tropical of Capricorn. Zote hizo ni latitude ambazo kazi yake ni kui-position Dunia.
Tofauti na Longitude ambayo hutumika zaidi kwenye ishu ya masaa katika Maeneo ya dunia
Huko kujizungusha ultimately inajikuta imejilengesha usawa wa Ikweta. Jua kazi yake ni moja tu; kutema mwanga halina movement yoyote.
 
Joto usiku wa leo ilikuwa ni balaa hasa kwa sisi wa kwenye vyumba za kupanga ni majanga matupu, feni inasizii kabisa, unatamani kulala nje ila vibaka nao wanaweza kukufanyia mambo mbaya kwa hiyo ni kuvumilia hasa kuzingatia namna vyumba vyetu zilivyobabana na kuwa na madirisha madogo hewa haipiti - mateso bila chuki kwa kweli.
 
Huko kujizungusha ultimately inajikuta imejilengesha usawa wa Ikweta. Jua kazi yake ni moja tu; kutema mwanga halina movement yoyote.

Sijakataa Mkuu.

Kuna lugha ya watoto na Lugha ya watu wenye akili timamu,
Kinachozingatiwa hapo ni kuelewa.
Kwa mtoto mdogo ndio itapaswa nieleze unavyotaka iwe.

Upo sahihi
 
Joto usiku wa leo ilikuwa ni balaa hasa kwa sisi wa kwenye vyumba za kupanga ni majanga matupu, feni inasizii kabisa, unatamani kulala nje ila vibaka nao wanaweza kukufanyia mambo mbaya kwa hiyo ni kuvumilia hasa kuzingatia namna vyumba vyetu zilivyobabana na kuwa na madirisha madogo hewa haipiti - mateso bila chuki kwa kweli.

Na kuhama jijini hatutaki habari hiyo
 
Sijakataa Mkuu.

Kuna lugha ya watoto na Lugha ya watu wenye akili timamu,
Kinachozingatiwa hapo ni kuelewa.
Kwa mtoto mdogo ndio itapaswa nieleze unavyotaka iwe.

Upo sahihi
Sawa sawa japo lugha ya Jua kuingia Ikweta ndio ya kitoto maana ni kujaribu kumsaidia mtoto aelewe japo the actual scenario is not correct. Uwe na amani.
 
Na kuhama jijini hatutaki habari hiyo
Kuhama mjini tena? Heee hilo jambo halipo kabisa - wacha tubanane hapa hapa. Baada ya hili joto kali sasa tunajiandaa na mafuriko ya masika - tushajipanga.
 
Mkuu uko vzr Sana Jana mkoan Lindi mvua kubwa Sana Imenyesha Asante Sana btw umenigusa kwenye field yangu..now tunakwenda kupima high flow mmbemkuru,lukuledi na RUVUMA so mkuu wa kitengo aandae dokezo watu twende site [emoji39][emoji39]
Dokezo la nini watu mnapenda sana posho
 
Sawa sawa japo lugha ya Jua kuingia Ikweta ndio ya kitoto maana ni kujaribu kumsaidia mtoto aelewe japo the actual scenario is not correct. Uwe na amani.

Embu soma kidokezo kifuatacho, zingatia maneno yaliyokolezwa!

What Happens on the March Equinox?​

On the March equinox, the Sun crosses the celestial equator going south to north. It’s called the “celestial” equator because it’s an imaginary line in the sky above the Earth’s equator.

If you were standing on the equator, the Sun would pass directly overhead on its way north.

Equinoxes are the only two times each year that the Sun rises due east and sets due west for all of us on Earth!

While the Sun passes overhead,
the tilt of the Earth is zero relative to the Sun, which means that Earth’s axis neither points toward nor away from the Sun. (Note, however, that the Earth never orbits upright, but is always tilted on its axis by about 23.5 degrees.)

After the spring equinox, the Northern Hemisphere tilts toward the Sun. Although in most locations (the North Pole and Equator being exceptions) the amount of daylight had been increasing each day after the winter solstice, after the spring equinox, many places will experience more daylight than darkness in each 24-hour day. The amount of daylight each day will continue to increase until the summer solstice in June, during which the longest period of daylight occurs.

Hapo ishu ni lugha tuu, ndio maana kuna kwenye lugha kuna Kitu kinaitwa SEMANTIKI, hapo utajifunza maana ya maana na Aina za maana Boss
 
Embu soma kidokezo kifuatacho, zingatia maneno yaliyokolezwa!

What Happens on the March Equinox?​

On the March equinox, the Sun crosses the celestial equator going south to north. It’s called the “celestial” equator because it’s an imaginary line in the sky above the Earth’s equator.

If you were standing on the equator, the Sun would pass directly overhead on its way north.

Equinoxes are the only two times each year that the Sun rises due east and sets due west for all of us on Earth!

While the Sun passes overhead, the tilt of the Earth is zero relative to the Sun, which means that Earth’s axis neither points toward nor away from the Sun. (Note, however, that the Earth never orbits upright, but is always tilted on its axis by about 23.5 degrees.)

After the spring equinox, the Northern Hemisphere tilts toward the Sun. Although in most locations (the North Pole and Equator being exceptions) the amount of daylight had been increasing each day after the winter solstice, after the spring equinox, many places will experience more daylight than darkness in each 24-hour day. The amount of daylight each day will continue to increase until the summer solstice in June, during which the longest period of daylight occurs.

Hapo ishu ni lugha tuu, ndio maana kuna kwenye lugha kuna Kitu kinaitwa SEMANTIKI, hapo utajifunza maana ya maana na Aina za maana Boss
Unajua Galilei Galileo aliwawa kwa sababu gani? Sababu haitofautiani sana na hicho ulicho-present.

Kisicho kweli hakiwi kweli simply kwa sababu kimeandikwa na wataalamu. Hata enzi za Galilei wataalamu waliandika sana "ukweli" ambao ulidhihirika baadaye sio.
 
Mkuu ulichosema sijakataa ila na mimi nilichoandika ni sahihi, hapo ishu ni semantiki hapo.

Jua halijongei huo ndio ukweli mpaka sasa hivi labda uje kubadilika huko mbeleni sisi hatujui
 
Ninachojua mimi sio kwamba jua halina movement yoyote la!
Jua lina mzunguko wake ambao hujumuisha sayari zote zilizo kwenye umiliki wa jua pamoja na dunia.

Huo mzunguko wa jua au mjongeo wa jua hatuwezi kuuhisi kama vile sisi viumbe waliopo dunia hatuwezi kuuhisi mzunguko wa dunia ila matokeo ya mzunguko huo ndio tunaoyapata kama hivyo Masika joto baridi nk.

Huo mzunguko wa jua ni wa muda mrefu mno kiasi sisi kupata matokeo ya mzunguko huo inachukua vizazi na vizazi.

So dunia inalizungika jua, lakini jua nalo lina mzunguko wake kwenye point yake huko angani.
 
Yes unaweza kuwa sahihi
 
😀😀😀

Hii ni elimu ya kitaa tuu. Kuielewa dunia hasa kwenye ishu ya Hali ya hewa na tabia nchi, Misimu na namna zinavyoathiri shughuli zetu Kama wanadamu
Shukrani sana Mkuu umenikumbusha Geograph ya O level
Labda tu nikwambie kwa upande wa mvua hali imebadilika mfano mwaka huu 2022 maeneo ya Tanzania ya Kati Dodoma, Singida mvua zimeshamaliza lkn Arusha na Kilimanjaro ndio wanategemea kupata angalau mvua, Dar nako kupata mvua April mpaka June ni vigumu
Shukrani kwa elimu uliyotumegea
kwa hiyo hiyo Climate change haiswihi sana kwani mikoa yetu inapishana sana kwa mvua ingawa tupo Ikweta
 
Kwema!

Joto la leo likanifanya niikumbuke Jiographia ya Kidato cha Kwanza.

Leo na kesho Tarehe 20 na 21 March Jua litakuwa Ikweta baada ya kuingia katika kizio cha Kusini (Southern Hemisphere) Tropical of Capricorn tangu mwaka jana Septemba lilipokuwa pia Ikweta.

Hivyo ni kusema jua limetokea Kusini na hivi leo na kesho litakuwa Ikweta likiigawanya Dunia katika mapande mawili yaliyolingana.

Kumaanisha usiku na mchana kutakuwa sawa na hii wanajiografia wanaiita EQUINOX yaani usiku na mchana kulingana.

Kumaanisha kuanzia tarehe 22 masika umeanza, mvua katika baadhi ya maeneo zitaanza kunyesha hasa kwenye wiki ya mwandamo wa mwezi katika siku 10 mpaka 15 zijazo.

Jua huwa Ikweta mara mbili kwa mwaka 20, 21 March ambayo hutambulika Vernal Equinox ambapo Msimu wa Masika huanza, na usiku na mchana hulingana.

pPa 22, 23Septemba ambayo hutambulika kama Autumnal Equinox ambapo msimu wa Vuli huanza, pia urefu wa usiku na mchana hulinganana.

Jua kwa sehemu kubwa ndio huongoza hali ya hewa na tabia ya nchi.

Masuala kama ya jotoridi, kiwango cha unyevunyevu angani, upepo, mawingo, mvua huratibiwa kwa kiasi kikubwa na jua.

Miale ya jua huchangia pakubwa.

Hata hivyo upo uhusiano wa mwezi kuandama na mabadiliko ya halo ya hewa Kwa baadhi ya maeneo.

Endapo jua litakuwa Ikweta basi mambo yafuatayo yanatarajiwa,
1. Ongezeko la joto Kali
2. Mlingano wa usiku na mchana
3. Mvua kuanza kunyesha hasa siku chache kabla ya mwezi kuandama n.k.

Athari za kiafya zinazoweza kujitokeza:

1. Watu kuumwa kifua na mafua kutokana na wengi kulala usiku wakiwa wamepunguza vyakujifunika, ilhali nyakati za usiku wa manane hali ya hewa hubadilika na kuwa ya baridi.

Hivyo mapafu huingia unyevuunyevu kutokana na baridi.

Tutarajie mvua Maeneo ya Dar es Salaam kwani na maeneo mengi ya Pwani kuanzia wiki hii kutokana na kutakuwa na ongezeko kubwa la unyevu unyevu angani kutokana na joto na uwepo wa bahari hivyo mvua itanyesha.

Naomba niishie hapa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es Salaam
Masika itaanza kesho huko kwenu sisi kwetu inamalizika mwezi ujao,ilianza toka mwezi wa 12 mwaka 2021
 
Back
Top Bottom