Jua kwanini siku ya Ijumaa ni muhimu kwa Imani ya Uislamu kuliko siku zote za wiki

Jua kwanini siku ya Ijumaa ni muhimu kwa Imani ya Uislamu kuliko siku zote za wiki

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
1. Ni siku ya ibada maalumu kwa swala ya jumah.

2. Quran ilianza kushusha siku ya ijuuma kwa Kipenzi chetu Muhammad (saw)

3. Itakua siku ya ijumma ndo Qiyamah itatokea. kati swala ya ijuuma na swaratul Asr.

4. Ilikua siku ya ijumma ndo Mtume Muhammad (saw) kapelekwa Isra wa Imraji.

Na sababu nyingi zaidi unaweza ukaogeza zako. Nawatakia ijumma Kareem waislamu wote waliomo humu. Shukuruni sana Allah kuwafanya kua waislamu.

Screenshot_20230217-110722_Facebook.jpg
 
Waislamu ibada yao ijumaa,wasabato jumamosi,wakristo madhebu mengi jumapili.

Sina la kuongea wote wanaita siku takatifu
 
Waislamu ibada yao ijumaa,wasabato jumamosi,wakristo madhebu mengi jumapili.

Sina la kuongea wote wanaita siku takatifu
Mkuu naku onya acha kuleta udini humu, uzi sio kwa ajiri ya dini zingine acha kuharibu uzi, chuki sio nzuri
 
Back
Top Bottom