C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Feb 17, 2023 #1 1. Ni siku ya ibada maalumu kwa swala ya jumah. 2. Quran ilianza kushusha siku ya ijuuma kwa Kipenzi chetu Muhammad (saw) 3. Itakua siku ya ijumma ndo Qiyamah itatokea. kati swala ya ijuuma na swaratul Asr. 4. Ilikua siku ya ijumma ndo Mtume Muhammad (saw) kapelekwa Isra wa Imraji. Na sababu nyingi zaidi unaweza ukaogeza zako. Nawatakia ijumma Kareem waislamu wote waliomo humu. Shukuruni sana Allah kuwafanya kua waislamu.
1. Ni siku ya ibada maalumu kwa swala ya jumah. 2. Quran ilianza kushusha siku ya ijuuma kwa Kipenzi chetu Muhammad (saw) 3. Itakua siku ya ijumma ndo Qiyamah itatokea. kati swala ya ijuuma na swaratul Asr. 4. Ilikua siku ya ijumma ndo Mtume Muhammad (saw) kapelekwa Isra wa Imraji. Na sababu nyingi zaidi unaweza ukaogeza zako. Nawatakia ijumma Kareem waislamu wote waliomo humu. Shukuruni sana Allah kuwafanya kua waislamu.
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Feb 17, 2023 #2 Waislamu ibada yao ijumaa,wasabato jumamosi,wakristo madhebu mengi jumapili. Sina la kuongea wote wanaita siku takatifu
Waislamu ibada yao ijumaa,wasabato jumamosi,wakristo madhebu mengi jumapili. Sina la kuongea wote wanaita siku takatifu
Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 3,979 Reaction score 5,146 Feb 17, 2023 #3 Okay! Ibada njema
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Feb 17, 2023 Thread starter #4 Kaka yake shetani said: Waislamu ibada yao ijumaa,wasabato jumamosi,wakristo madhebu mengi jumapili. Sina la kuongea wote wanaita siku takatifu Click to expand... Mkuu naku onya acha kuleta udini humu, uzi sio kwa ajiri ya dini zingine acha kuharibu uzi, chuki sio nzuri
Kaka yake shetani said: Waislamu ibada yao ijumaa,wasabato jumamosi,wakristo madhebu mengi jumapili. Sina la kuongea wote wanaita siku takatifu Click to expand... Mkuu naku onya acha kuleta udini humu, uzi sio kwa ajiri ya dini zingine acha kuharibu uzi, chuki sio nzuri
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Feb 17, 2023 #5 Covax said: Mkuu naku onya acha kuleta udini humu, uzi sio kwa ajiri ya dini zingine acha kuharibu uzi, chuki sio nzuri Click to expand... Kwanini siku muhimu ni hipi ? .embu fafanua labda unayo wewe
Covax said: Mkuu naku onya acha kuleta udini humu, uzi sio kwa ajiri ya dini zingine acha kuharibu uzi, chuki sio nzuri Click to expand... Kwanini siku muhimu ni hipi ? .embu fafanua labda unayo wewe