PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,224
Mwambie atume pichaNenda inbox ukaonyeshwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie atume pichaNenda inbox ukaonyeshwe
Hahaha mkuu GENTAMYCINEHuwezi amini pamoja na hali hiyo bado kuna ' Njemba ' zinatega Kuoga siku moja mpaka tatu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji28] [emoji28] [emoji28] akitoa jibu naomba unitagMapumbu ndio nini??
Hao si wa SAYARI hii ... si ajabu wamemeza AIR CONDITIONSHuwezi amini pamoja na hali hiyo bado kuna ' Njemba ' zinatega Kuoga siku moja mpaka tatu.
Mkuu nataka nikuje Arusha, nikiwa na laki2 nitapambana kuishi pindi natafuta kibarua??Hahah jua la Dar limenishinda nimekimbilia Arusha milimani huku.... Nakula tu maisha huku
[emoji125] [emoji125] [emoji125]kwa hili jua la Dar, unaweza kutembea ukasikia harufu ya MISHIKAKI kumbe Mapumbu yanaungua
Hao ni wale waliokuwa wanaishi kwa mazoea na sasa wanaisoma namba...kweli jua la dar limesababisha vichaa wameongezeka sasa
Umeuwaaakwa hili jua la Dar, unaweza kutembea ukasikia harufu ya MISHIKAKI kumbe Mapumbu yanaungua
Laana hiyo inakutafunakwa hili jua la Dar, unaweza kutembea ukasikia harufu ya MISHIKAKI kumbe Mapumbu yanaungua
Mvua ishaanza kunyesha bhana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Laana hiyo inakutafuna
ni hivyo vigololi viwili katikati ya miguuMapumbu ndio nini??
DarMmmh jua liko wapi?