verses fountain
Senior Member
- Sep 30, 2018
- 155
- 194
Ina maanisha wingu siyo zito mwanga wa kutosha unapenya as simple as thatNiko arusha huku kwa sasa naona jua limezungukwa na upinde wa mvua.kwa maoni yenu mnadhani hii inamaanisha nini?
MKuu unantisha..huku mvua za juzikat zimeharibu nyumba zimebeba mifugo na madaraja yamesombwa.it means we should prepare for the worse?Maana yake anga lina maji mengi sana. Maji hayo yanatenganisha mwanga katika rangi zake 7 ambazo unaonekana upinde. Maana yake ni dalili ya mvua kubwa au mvua ya mawe.
Ni utabiri tu, si lazima utokee. Ila mara nyingi hiyo hali huleta mvua kubwa. Labda patokee upepo au mgandamizo utakaopunguza nguvu ya mvua au kuhamisha mawingu ya mvua.MKuu unantisha..huku mvua za juzikat zimeharibu nyumba zimebeba mifugo na madaraja yamesombwa.it means we should prepare for the worse?
Maana ndo msimu wa mvua zenyewe huku na mwka huu zimezidi hatari