Jua likizungukwa na upinde wa mvua inamaanisha nini?

Jua likizungukwa na upinde wa mvua inamaanisha nini?

verses fountain

Senior Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
155
Reaction score
194
Niko Arusha huku kwa sasa naona jua limezungukwa na upinde wa mvua. Kwa maoni yenu mnadhani hii inamaanisha nini?
*Stay home stay safe, wash your hands frequently with water and soap, observe social distancing measures*

15882395415761120992081.jpg
1588239752707467534161.jpg
 
Maana yake anga lina maji mengi sana. Maji hayo yanatenganisha mwanga katika rangi zake 7 ambazo unaonekana upinde. Maana yake ni dalili ya mvua kubwa au mvua ya mawe.
 
Maana yake anga lina maji mengi sana. Maji hayo yanatenganisha mwanga katika rangi zake 7 ambazo unaonekana upinde. Maana yake ni dalili ya mvua kubwa au mvua ya mawe.
MKuu unantisha..huku mvua za juzikat zimeharibu nyumba zimebeba mifugo na madaraja yamesombwa.it means we should prepare for the worse?
Maana ndo msimu wa mvua zenyewe huku na mwka huu zimezidi hatari
 
MKuu unantisha..huku mvua za juzikat zimeharibu nyumba zimebeba mifugo na madaraja yamesombwa.it means we should prepare for the worse?
Maana ndo msimu wa mvua zenyewe huku na mwka huu zimezidi hatari
Ni utabiri tu, si lazima utokee. Ila mara nyingi hiyo hali huleta mvua kubwa. Labda patokee upepo au mgandamizo utakaopunguza nguvu ya mvua au kuhamisha mawingu ya mvua.
 
Back
Top Bottom