Jua limekuwa ni adui mkubwa wa Satelite za Starlink

Jua limekuwa ni adui mkubwa wa Satelite za Starlink

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
1_20250531_115950_0000.png
ad

Kampuni ya SpaceX imeingia kwenye changamoto kubwa sana kwa kupambana na Adui ambaye asiyemtarajia kabisa, sio Kampuni pinzani au uchafu wa Anga bali ni Jua.

Utafiti mpya unaonyesha kuwa kuongezeka kwa shughuli za jua na mabadiliko ya hali ya hewa haswa nyakati za dhoruba ya geomagnetic storm, imepelekea baadhi ya satellite zilizopo chini ya obiti ya Arshi ya dunia inafanya kazi vibaya au kushindwa na kuyeyuka.

Mnamo februari 2022 ilitokea dhoruba kali ya kijiografia iliweza kuondoa na kuhalibu satellite mpya 38 za Starlink. Dhoruba hii inapelekea mlipuko mkubwa wa plasma na nishati ya sumaku dhidi ya Jua.

Mabadiliko ya jua upelekea satellite nyingi za Starlink kuweza kushika Moto kulipuka na kuyeyuka zinginezo kupoteza nguvu na kushindwa kufanya kazi kutokana na Dhoruba ya Jua.

2_20250531_115950_0001.png


Pia watafiti waonya kwamba hitilafu za satellite kama hizi zinaweza kutishio kwani upelekea kukatisha mifumo ya mawasiliano ya kimataifa (global communication & navigation system) na usalama kwa ujumla.
 
Aisee, sikuwahi kujua hilo, asanye, japo kwa kuchelewa.
 
Hii story yafanana na wale waliokuwa wakitaka kujenga mnara ili wamfikie Mungu.
 
Back
Top Bottom