Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Ac Milan wamestaafisha kabisa jezi namba 3 kwa heshima ya Paolo Maldini na jezi namba 6 kwa heshima ya beki bora kabisa wa kati Franco BaresiKutokana na kukiwasha kwa mtu fulani katika wakati wake kwenye timu,unakuta jezi ya namba fulani inakuwa inaheshimika hivyo hata anayepewa mara nyingi anakuwa ni yule mwenye kukaribia kama sio kufata nyayo za aliyeiwekea heshima.Hizi ni baadhi ya namba zenye kuheshimiwa na timu.
Arsenal -14
Man u - 7
Barcelona -10
Chelsea- 11
Liverpool-8
Argentina -10
Brazil- 10
England-9
France-10
R.Madrid-7
Ac Milan wamestaafisha kabisa jezi namba 3 kwa heshima ya Paolo Maldini na jezi namba 6 kwa heshima ya beki bora kabisa wa kati Franco Baresi
Napoli waliistafisha jezi namba 10 ya Diego Armando Maradona kabla hata ya kifo chake na baada ya kifo chake wakaamua kuuita uwanja wao wa Stadio San Paolo kuwa Estadio Diego Maradona kwa heshima yake ya kuwapa mataji mawili ya Scudetto enzi anacheza kwa wahuni hao wa jijini Naples.
Man City wameipa heshima jezi na. 23 kwa kuistaafisha kwa heshima ya marehemu Marc Vivien Foe
walitaka waieke ila jamaa akawaambia imani yake hairuhusuMan city: Sanam ya Kompany, David Silva na Aguero::....... Mtu tank Yaya Toure wamemchukuliaje?
Hiz namba zina uchawi ndani yake
Simba 25 ya okwiSimba ?
Yanga ?
Taifa stars?
Nani kati ya hao?walitaka waieke ila jamaa akawaambia imani yake hairuhusu
Mkuu hapa unavutia kasi ule ubishi maarufuKwenye soka kiujumla jersey namba 10 ndio jersey yenye heshima.
PSG 30Kutokana na kukiwasha kwa mtu fulani katika wakati wake kwenye timu,unakuta jezi ya namba fulani inakuwa inaheshimika hivyo hata anayepewa mara nyingi anakuwa ni yule mwenye kukaribia kama sio kufata nyayo za aliyeiwekea heshima.Hizi ni baadhi ya namba zenye kuheshimiwa na timu.
Arsenal -14
Man u - 7
Barcelona -10
Chelsea- 11
Liverpool-8
Argentina -10
Brazil- 10
England-9
France-10
R.Madrid-7