Jua namba za jezi yenye heshima zaidi kwenye timu mbalimbali

Tyrone Kaijage

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
1,617
Reaction score
3,405
Kutokana na kukiwasha kwa mtu fulani katika wakati wake kwenye timu,unakuta jezi ya namba fulani inakuwa inaheshimika hivyo hata anayepewa mara nyingi anakuwa ni yule mwenye kukaribia kama sio kufata nyayo za aliyeiwekea heshima.Hizi ni baadhi ya namba zenye kuheshimiwa na timu.

Arsenal -14
Man u - 7
Barcelona -10
Chelsea- 11
Liverpool-8
Argentina -10
Brazil- 10
England-9
France-10
R.Madrid-7
 
Ac Milan wamestaafisha kabisa jezi namba 3 kwa heshima ya Paolo Maldini na jezi namba 6 kwa heshima ya beki bora kabisa wa kati Franco Baresi

Napoli waliistafisha jezi namba 10 ya Diego Armando Maradona kabla hata ya kifo chake na baada ya kifo chake wakaamua kuuita uwanja wao wa Stadio San Paolo kuwa Estadio Diego Maradona kwa heshima yake ya kuwapa mataji mawili ya Scudetto enzi anacheza kwa wahuni hao wa jijini Naples.

Man City wameipa heshima jezi na. 23 kwa kuistaafisha kwa heshima ya marehemu Marc Vivien Foe
 
Man city: Sanam ya Kompany, David Silva na Aguero::....... Mtu tank Yaya Toure wamemchukuliaje?
 
Hiz namba zina uchawi ndani yake
 
magic number of all time 7 it’s always stand for cr7 [emoji230]
 
Kutokana na kukiwasha kwa mtu fulani katika wakati wake kwenye timu,unakuta jezi ya namba fulani inakuwa inaheshimika hivyo hata anayepewa mara nyingi anakuwa ni yule mwenye kukaribia kama sio kufata nyayo za aliyeiwekea heshima.Hizi ni baadhi ya namba zenye kuheshimiwa na timu.

Arsenal -14
Man u - 7
Barcelona -10
Chelsea- 11
Liverpool-8
Argentina -10
Brazil- 10
England-9
France-10
R.Madrid-7
PSG 30
 
Back
Top Bottom