Jua tofauti ya Ugaidi, udikteta na uasi

Jua tofauti ya Ugaidi, udikteta na uasi

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Ugaidi ni nini?
Ugaidi ni kule kuharibu Mali za watu, kujeruhi na kuua raia wasio na silaha makusud ili kufanikisha malengo ya kisiasa au kimrengo. mfano Al qaida, Harakat Al shababu Al mujhedn

Udikteta.
Ni kule uongozi unaoshika madaraka mahali kukataa kufuata sheria kwa makusud kabisa, hivyo kuendesha nchi kiholela bila kufuata sheria. mfano Mu7, Putting, Al Asis etc

Uasi..
Ni kupambana na serikali (jeshi la nchi) kwa lengo la kuchukua madaraka.

Hapa kundi hua linapambana na serikali pasi nakulenga raia kwa makusudi.

Mfano, Tamil taigers - Sri Lanka, Mend - Nigeria, Houth - Yemen...

Kwanini ugaidi unaenea Sana?
Hii dhana inatokana na kutokuwa na usawa kimaisha inapelekea kuoneana ambapo hufanya vikundi flani vitake kulipiza kisasi, hapo ndipo huvutwa na magaidi kwa kushawishiwa kwa mafundisho feki..

Aina za ugaidi..
Ugaidi wa ndani ya nchi
Ugaidi wa kuvuka mipaka
Ugaidi wa kidini..

Ugaidi wa kidini hutokana na kutafsri vibaya maandiko ya kidini hususan ya kiislamu (Qur'an tukufu).

Kwanini uislamu na ugaidi?

Tovuti ya Asian.org ya Malaysia inajibu kuwa Hilo hutokana na

1. Udhaifu wa serikali za nchi za kiislamu.
2. Ukandamizwaji katika nchi za kiislamu..

Tujadili hayo nitaongeza mengine asubuhi..

Soma pia Asia society.org
5.jpg
4.jpg
3.jpg
2.jpg
1.jpg
 
Back
Top Bottom