Jubilee Grand merger live Citizen tv: Tuna cha kujifunza

Jubilee Grand merger live Citizen tv: Tuna cha kujifunza

unatoa mharisho wa vijimaneno kujifanya political expert on kenya issues but hunaufahamu hata kidogo. Ongelea kuhusu Dictator mpya Afrika anayechipukia Bwana John Pombe Magufuli na mada kuu ya nchi ya viwanda.......hapo nakupa usiku kucha kuhadithia........
Mkikuyu kaanza kutoa povu.
 
Muungano wa vyama kenya.....hapa sisemi kitu..........

 
Huoni aibu kutoa uvundo na akili za kiuenda wazimu wazimu hapa hapa jukwa lenye heshimu na ukomavu wa akili.........
Wewe endelea kutoa povu lakini huwezi kubadiisha ukweli kuhusu siasa zenu, kale githeri ukalale.
 
Wana ODM mombasa kenya walikuwepo pia..............

 
Wewe endelea kutoa povu lakini huwezi kubadiisha ukweli kuhusu siasa zenu, kale githeri ukalale.

vijitoto vya kumaliza high school juzi huwa sipotezi muda navyo......utarudi vijiweni ulikotoka kubovya bovya visimu au zizia kaka..................
 
vijitoto vya kumaliza high school juzi huwa sipotezi muda navyo......utarudi vijiweni ulikotoka kubovya bovya visimu au zizia kaka..................
sometimes i imagine that they are taught just to hate
 
Uhuru at 3pm: Tushindane kwa sera sio kwa matusi, wakenya hawakuli matusi
Raila at 6pm: Jubilee ni kama punda anaye nyambanyamba
 
Uhuru at 3pm: Tushindane kwa sera sio kwa matusi, wakenya hawakuli matusi
Raila at 6pm: Jubilee ni kama punda anaye nyambanyamba
Alafu ilikua inachekesha after wote walikiri walikua wanaangalia tv kujua nini kinaendelea na nini wanasema huko kasarani/Mombasa
 
Kila la kheri wakenya sisi huku tumezuiwa kufanya siasa mpaka 2020. Ni ccm pekeyao ndo wanaruhusa upinzani hapana.
 
14225408_1495418090474033_5435927639184533065_n.jpg
 
Naona mtoa mada hajui lolote kuhusu siasa za Kenya, anaishia kujidanganya na anachokiona kwenye runinga. Ungejifunza mambo haya: Jubilee= Wamae, Munyui, Kipchumba,Githinji,Ruto n.k. Pia, Cord= Omondi,Odhiambo, Otieno, Abdi,Mohammed,Mutuku,Kalonzo, Mutheu n.k.
"Hakuna bugudha ya vyombo vya dola kwa vyama pinzani", unatania ama?
Interior CS bans opposition protests, Cord dismisses order
Three killed in Cord demos to eject IEBC

Utani mwingine huu "wanalumbana kwa issues".
Ruto's grip on Kalenjin nation remains firm
My party will not split Kalenjin votes - Governor Ruto
Cord Will Fall Before 2017
One, since the introduction of multi-party politics in 1992 the Presidential vote has been decided on tribal lines. The exception was 2002 and was because the two top candidates were from the same ethnic group. Two, each of these elections has been determined by seven tribes; the Kikuyus, Luyhas, Kalenjins, Luos, Kambas, Kisii and Meru, who together make up 75% of Kenya’s population.
MUTUA: Why Ruto may have to struggle to win Kalenjin vote
Tough task for Ruto: How will he overcome Gema’s fear of an ‘outsider’ president?

Siasa za Kenya zimeegemea kwenye ukabila kwa asilimia 100 na sio 'issues' kama unavyojidanganya. Wakikuyu wote watamuunga mkono Uhuru hata afanye nini maana ni mkikuyu mwenzao, hivyo hivyo kwa Raila na Wajaluo. Tanzania hatuna chochote cha kujifunza kwenye siasa za Kenya.
Safi
 
Uhuru at 3pm: Tushindane kwa sera sio kwa matusi, wakenya hawakuli matusi
Raila at 6pm: Jubilee ni kama punda anaye nyambanyamba

hapo Rao alilpoteza points sana, I've always voted opposition but this time round nikama kamwana atapata kura yangu, we can't ignore that things are changing for the better. Corruption ndio kidogo wameniangusha.
 
Mosi; Vyama vinaungana na kujenga chama kimoja mfano vyama kumi na moja vimeungana rasmi leo.

Pili; Sisikii vijembe nasikia hoja za maendeleo mfano laptop zitagawiwa kwa wanafunzi wote primary very soon. Hakuna bugudha ya vyombo vya dola kwa vyama pinzani ,wanalumbana kwa issues. Hakuna kusema siasa isimame au kupangiana nani ahutubie wapi au lini.Katiba yao inaruhusu vyama kuungana bila kudissolve.

Tune citizen watch it live Kenya wanapaa sisi tunakaa.
Hii ndo kitu Ukawa walipaswa fanya 2015.
Maisha yao yangekuwa matamu sana sasa hivi.
Wakaja kuishia kunyang'anyana majimbo na viti vya udiwani huku wazee wakongwe wakiitoroka kambi kati kati ya mpambano..
 
Back
Top Bottom