JUBILEE protests IEBC's move on spoilt votes

Butola

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
2,290
Reaction score
758
By Vitalis Kimutai and Peter Opiyo

Nairobi, Kenya: The Jubilee Coalition has contested the move by the electoral commission to include spoilt votes in calculating the presidential tally.

They objected the decision to count invalid votes along with the valid ones as part of the overall tally that would define whether any candidate has secured the 50 per cent plus one constitutional threshold.

Jubilee blamed foreign missions for allegedly influencing the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) to take that position in tabulating the figures which it claimed was meant to deny the coalition a win in the first round of the contest.

IEBC had earlier stated the Constitution envisages the inclusion of all votes cast in calculating the percentage of the presidential tally.

According to the Constitution, a presidential candidate must garner 50 per cent plus one vote of all votes cast to be declared the winner.

Jubilee running mate William Ruto addressed the media at Bomas last night, but also appealed to Kenyans to remain calm as they take up the matter with the IEBC.

"We are aware some foreign missions have taken a position on this matter and have been canvassing to have IEBC include the spoilt votes in calculating the per centage," Ruto said.

He added: "Jubilee Coalition is concerned over the sudden change of rules by IEBC which to us is meant to deny us a first round win," he said.

Ruto said they would move to court to challenge IEBC on the matter if it becomes necessary.

http://www.standardmedia.co.ke/m/story.php?id=2000078754&pageNo=1

A standoff erupted over the exclusion of rejected and disputed votes in the Independent Electoral and Boundaries Commission's calculations of the percentages held by the candidates. IEBC has been displaying the percentage for valid votes only. However, CORD pointed out the Constitution sets the threshold for victory at 50 per cent plus one vote for "all votes cast".

IEBC Chairman Ahmed Issack Hassan last evening announced that the percentages would now be worked out using total votes cast (including rejected and disputed votes). This immediately sparked a protest from the Jubilee alliance, whose officials say he was misinterpreting the law.

http://www.standardmedia.co.ke/m/story.php?id=2000078760&pageNo=1


My Take:
Nakubaliana na Jubillee, "Kura Zilizoharibika ni Kama Mgombea wa Maruhani", kuzijumlisha kura hizi kwenye kutafuta percentage ya kura za wagombea kutasababisha ata kwenye uchaguzi wa marudio, wa washindi wawili wa juu, uwepo uwezakano pia wa kutopatikana mshindi, kwa sababu japo tutawaona Uhuru na Odinga, lakini kutakuwa pia na mgombea, "Kura Zilizoharibika"..

Ikumbukwe kuwa katika matokeo ya mpaka sasa, mgombea huyu "Kura Zilizoharibika", amekamata nafasi ya tatu nyuma ya Uhuru na Odinga.
 
Butola Agatany8I IEBC wako sahihi kimahesabu. Watu wa HGL mnaweza msielewe; Ili mgombea atangazwe mshindi wa uraisi anatakiwa kupa zaidi ya 50% ya kura zilizopigwa na majimbo 24 kati ya majimbo 47. "Variable" hapa ni kura zilizopigwa na idadi ya majimbo mgombea aliyoshinda (kukubalika kitaifa).

Kura zilizopigwa (X) = kura walizopata wagombea wote + kura zilizoharibika.

Ili mgombea "A" atangazwe mshindi kura alizopata A/X lazima ziwe zaidi ya 50%.

Wakifanya kama Jubilee Coalition wanavyotaka maana yake hata kama wagombea wote wangekataliwa na wapiga kura (kura za maruhani) bado tume ingetangaza mshindi kati ya wale waliopigiwa kura
 
Last edited by a moderator:
Butola Agatany8I IEBC wako sahihi kimahesabu. Watu wa HGL mnaweza msielewe; Ili mgombea atangazwe mshindi wa uraisi anatakiwa kupa zaidi ya 50% ya kura zilizopigwa na majimbo 24 kati ya majimbo 47. "Variable" hapa ni kura zilizopigwa na idadi ya majimbo mgombea aliyoshinda (kukubalika kitaifa).

Kura zilizopigwa (X) = kura walizopata wagombea wote + kura zilizoharibika.

Ili mgombea "A" atangazwe mshindi kura alizopata A/X lazima ziwe zaidi ya 50%.

Wakifanya kama Jubilee Coalition wanavyotaka maana yake hata kama wagombea wote wangekataliwa na wapiga kura (kura za maruhani) bado tume ingetangaza mshindi kati ya wale waliopigiwa kura
 
Last edited by a moderator:
SMU kwenye taarifa ya mfano idadi ya kura zilizopigwa ni 769 ndio namba inayotakiwa kutumika kuangalia kama mshindi amevuka 50% inayotakiwa. Ukutumia 766 ina maana wale watatu hawakuwa wapiga kura? Inawezekana katika wagombea wote mpiga kura hakuona anayefaa kuchaguliwa
 
Last edited by a moderator:
Reactions: SMU
Idadi ya wapiga kura waliojitokeza na kupiga kura ktk kituo kuwa zaidi ya waliojiandikisha, bila shaka kuna waliohamia ktk kituo hicho kwa "ruksa ya IEBC", siasa wakati mwingine ina algebra zake (moja ya tawi la hisabati)!
 

...Haihitaji kusoma ata Basic Mathematics kuijua hesabu hii, ebu fikiria matokeo ya uchaguzi wa duru la pili...

....Assume, kura za Kenyatta=A, Kura za Odinga = B, Kura Zilizoharibika= C, hivyo Jumla ya Kura zote= A + B + C; kura za Kenyatta percentagewise itakuwa A/(A+B+C), za Odinga B/(A+B+C) na zilizoharibika C/(A+B+C).

...Sasa fikiria kama kwenye marudio, Kenyatta apate 49%, Odinga 48%, na Zilizoharibika 3%, je tume itatangaza mshindi?maana hakutakuwa na aliyepata zaidi ya 50%+ 1 ya Jumla ya Kura,(A+B+C),je uchaguzi urudiwe mara ngapi ndipo mshindi aliyepata chini ya 50% atangazwe?lazima ufikirie assumption zote hizo, kwani ukiziweka hizo kama sehemu ya kura na ukaweka condition ya 50%+1 kuna uwezekano wa uchaguzi kurudiwa indefinitely...

...Unaweza ukaifurahia hii, lakini ni kwambie kama nchi, lazima sheria na kanuni ziwekwe kwa kuzingatia a worst case scenario, na kwa hapa ni huu "mtego wa uchaguzi kurudiwa, kurudiwa na kurudiwa na kurudiwa indefinitely" bila mgombea yeyote kupata 50%+1 kwa sababu ya uwepo wa mgombea hasiyeonekana "Kura Zilizoharibika"...
 
Butola kupata uharibu wa kura kwa kiwango cha 3% nako kunatia mashaka na hii ilitokea Zanzibar na ilisemekana na kura za Maalimu Seif zilikuwa zinaharibiwa ili kumpitisha Dr Shein. Nahisi hata huko Kenya kuna matatizo si bure
 
Last edited by a moderator:
Hivi ikitokea mshindi akapata 50%+1, na anayemfuatia akapata 49.99% inamaanisha nini! Mi nadhani ifike sehemu maoni ya kila mmoja yakubalike, aliyesema YES,NO na aliyeharibu kura yake (minajili ana akili timamu manake anaelewa akifanyacho)

Kwa nini sheria isiruhusu ktk close tie washirikiane kuongoza nchi (wajali maoni ya wapiga kura wote) na katika hali nyingine mshindi apate angalau 65% au 70% ya kura zote!!!!!!!!!!!
 
Butola kupata uharibu wa kura kwa kiwango cha 3% nako kunatia mashaka na hii ilitokea Zanzibar na ilisemekana na kura za Maalimu Seif zilikuwa zinaharibiwa ili kumpitisha Dr Shein. Nahisi hata huko Kenya kuna matatizo si bure


....Ukishaiweka kama "factor" ya Jumla ya kura hauwezi tena kuidharau,ni lazima uitambue tu, kuna machizi wataharibu kura, wapo! kuna human error, zipo tu!elimu ya upigaji kura, lipo hili!! na list inaendelea...

...Ebu ona katika uchaguzi huu mpaka sasa huyu mgombea "Kura Zilizoharibika" ana kura 337,000, kamzidi ata Mudavadi mwenye 151,000, sasa kuziweka hizi kwenye Jumla ya Kura ni mtego mbaya sana, japo utawanufaisha sasa CORD lakini ni kitanzi kibaya sana kwa nchi, tume ikishindwa kuutegua ni vyema mahakama itoe tafsiri itakayeutegeua huu mtego...
 

...Hapo ni rahisi, mgombea akipata 50%+1 anatangazwa mshindi, simple, bila kujali anayemfuata ana ngapi, issue hapa ni uwezekano wa wagombea wote kutopata 50%+1 ata kwenye uchaguzi wa marudio kwa sababu ya kuziweka "kura zilizoharibika" kwenye kukokotoa percentage za wagombea...
 
Hapa kuna kitu,haiwezekani kura karibia laki tano ziharibika,alafu kuna tetesi nimezisoma sehemu fulani kwamba mtandao wa IEBC umekuwa hucked,inasemekana,kuna expart wa mambo ya mtandao alikodiwa na chama fulani ili kufanya haya mambo,na inasemekana huyo jamaa ashakamatwa.
 
swali la kizushi:
Tuseme zimepigwa 100,kura 20 zikaenda kwa Raila,kura 25 zikaenda kwa Uhuru na kura 55 zikaharibika,hivi Uhuru atatangazwa kuwa ni Rais wa Kenya?
 

Ninachomaanisha, ni maoni ya wapiga kura 49.9% hayatazingatiwa? Demokrasia iko wapi hapo? hata kama atapata 52% na mwezake 48% hakuna demokrasia hapo! Bora gepu liwe kubwa ndo mmoja apewe mamlaka ya kuendesha nchi otherwise wote waendeshe nchi pamoja kama ilivo kenya/zimbabwe kwa sasa na si mpaka manung'uniko na fujo zitokee ndio wajue wanaweza fanya kazi pamoja?
 
Butola hao 377000 walikuwa wapiga kura? Kama jibu ni ndiyo kama hawakuona mgombea anayefaa unataka kura yake isihesabiwe?
 
Last edited by a moderator:
swali la kizushi:
Tuseme zimepigwa 100,kura 20 zikaenda kwa Raila,kura 25 zikaenda kwa Uhuru na kura 55 zikaharibika,hivi Uhuru atatangazwa kuwa ni Rais wa Kenya?

hapo sasa, Ingawa hii ni ngumu kutokea lakini inaonesha sheria hizi zitoe haki kwa watu wote!

haki si ya kuchagua (YES) pekee, hata Kutowachagua pia ni haki, means idadi ya zilizoharika ikiwa kubwa na wote wanajua kusom/kuandika na wana akili timamu! Sheria ieleze wazi nini kitafanyika ati!
 
Butola hao 377000 walikuwa wapiga kura? Kama jibu ni ndiyo kama hawakuona mgombea anayefaa unataka kura yake isihesabiwe?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…