Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
we will deal with you after elections
If Kenyatta, is fearing Odinga to that extent there is no need to vote, just declare Odinga as a new President.
Also, cut a diplomatic tie with Tanzania by clossing down your embassy in Tanzania.
Any way, Uhuru you're a thief.
Common knowledge "Once a thief , always a thief.
Remind me. What has Uhuru stolen?
On the other hand, here is a list of the known Raila scandals: Molasses, Kazi kwa Vijana, Triton, Dominion farms.
Utaila ni kitu mbaya zaidi ya uvutaji bangeHujielewi Wewe
sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app
Utakapo takiwa kuthibitisha usiogope peleka ushahidi mahakamaniUnataka uthibitisho gani?, kwamba hakuna urafiki kati ya Rais wetu na Raila? Kwamba rais wetu hapendi raila awe Raisi wa Kenya?, kaka hata picha huwezi kuangalia kama unashindwa kusoma?
Unapokuwa mkubwa jinga ni tabu na hii inathibitisha kuwa ukubwa wa pua si wingi wa kamasiUnataka uthibitisho gani?, kwamba hakuna urafiki kati ya Rais wetu na Raila? Kwamba rais wetu hapendi raila awe Raisi wa Kenya?, kaka hata picha huwezi kuangalia kama unashindwa kusoma?
Wacha poor mind yako ikuangamize we mwenyewe huwezi kuleta mafundisho ya Shetani mioyoni mwa watanzaniaHivi nilishawahi kukutukana hata siku moja?, mbona huna Busara kaka?, inaonekana wewe ni mtoto sana wala hujui influence ya Tanzania kwenye hizi nchi za maziwa makuu,
Sio kila kitu kisemwe, hivi unajua history ya Maraisi wa Uganda Rule, Binaisa, Obote?, hivi unajua issue ya Kabila Baba, John Garang, Bakili Muluzi nk? Ni ajabu kwa Kiongozi wa Tanzania kumsupport Raila?
Utakapo takiwa kuthibitisha usiogope peleka ushahidi mahakamani
2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
Wacha poor mind yako ikuangamize we mwenyewe huwezi kuleta mafundisho ya Shetani mioyoni mwa watanzania
2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
Unapokuwa mkubwa jinga ni tabu na hii inathibitisha kuwa ukubwa wa pua si wingi wa kamasi
2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
Mbona majibu yapo wazi 2020 ccm madarakani hamna cha kupinga nchi hii haiwezi ongozwa na vichaa wa ukawaNatumai akishinda kenyatta mkulu wetu ajiandae kusikia matokeo ya uchaguzi yakitangazwa na ikawa toka kenya.....MUNGU SAIDIA KENYATTA ASHINDE PIA NAOMBA UHAI NA AFYA NJEMA NIONE PICHA LA MWAKA 2020 UCHAGUZI WA TANZANIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigezo kipi kinakufanya uamini mimi ni Mkenya?,
inaonekana wewe ni mtoto sana wala hujui influence ya Tanzania kwenye hizi nchi za maziwa makuu,
Sio kila kitu kisemwe, hivi unajua history ya Maraisi wa Uganda Rule, Binaisa, Obote?, hivi unajua issue ya Kabila Baba, John Garang, Bakili Muluzi nk? Ni ajabu kwa Kiongozi wa Tanzania kumsupport Raila?
Acha zako hizo myth.
Tanzania itawashikia mikono wakenya wanapopiga kura? Na hata hivyo Tanzania hakuna expert wakuingilia mitambo ya Kenya akaiweza. Sasa influence itakuwa vipi?
Yani hawa jubilee wanaiga propagada za Klinton dhidi ya Putin, yani ujinga mtupu.
Kilichoongelewa kingine na wewe unachoongea kingine, sijui wabongo huwa tuna akili za namna gani, yaani umeamua kujitengenezea hoja na kijijinu, nje kabisa ya hoja iliyowasilishwa
Acha porojo wewe. Kapige hicho kituo ukilete hapa acha mambo ya zamani wewe.