Jubilee reacts as NASA insiders say Tanzania tallying centre complete

Natumai akishinda kenyatta mkulu wetu ajiandae kusikia matokeo ya uchaguzi yakitangazwa na ikawa toka kenya.....MUNGU SAIDIA KENYATTA ASHINDE PIA NAOMBA UHAI NA AFYA NJEMA NIONE PICHA LA MWAKA 2020 UCHAGUZI WA TANZANIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If Kenyatta, is fearing Odinga to that extent there is no need to vote, just declare Odinga as a new President.

Also, cut a diplomatic tie with Tanzania by clossing down your embassy in Tanzania.

Any way, Uhuru you're a thief.
Common knowledge "Once a thief , always a thief.
 
Remind me. What has Uhuru stolen?
On the other hand, here is a list of the known Raila scandals: Molasses, Kazi kwa Vijana, Triton, Dominion farms.
 
Former President Moi, is able to give you all the facts.
 
Hujielewi Wewe

sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app
Utaila ni kitu mbaya zaidi ya uvutaji bange

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
Unataka uthibitisho gani?, kwamba hakuna urafiki kati ya Rais wetu na Raila? Kwamba rais wetu hapendi raila awe Raisi wa Kenya?, kaka hata picha huwezi kuangalia kama unashindwa kusoma?
Utakapo takiwa kuthibitisha usiogope peleka ushahidi mahakamani

Unapokuwa mkubwa jinga ni tabu na hii inathibitisha kuwa ukubwa wa pua si wingi wa kamasi

Hivi nilishawahi kukutukana hata siku moja?, mbona huna Busara kaka?, inaonekana wewe ni mtoto sana wala hujui influence ya Tanzania kwenye hizi nchi za maziwa makuu,
Sio kila kitu kisemwe, hivi unajua history ya Maraisi wa Uganda Rule, Binaisa, Obote?, hivi unajua issue ya Kabila Baba, John Garang, Bakili Muluzi nk? Ni ajabu kwa Kiongozi wa Tanzania kumsupport Raila?
Wacha poor mind yako ikuangamize we mwenyewe huwezi kuleta mafundisho ya Shetani mioyoni mwa watanzania

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
Utakapo takiwa kuthibitisha usiogope peleka ushahidi mahakamani

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.

Kuthibitisha kwa nani?, na kuthibitisha nini?
 
Wacha poor mind yako ikuangamize we mwenyewe huwezi kuleta mafundisho ya Shetani mioyoni mwa watanzania

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.

Wewe ni mtoto mdogo hujui kitu, na sio kila maada lazima uchangie saa nyingine unakaa kimya huku unafuma vitambaa
 
Unapokuwa mkubwa jinga ni tabu na hii inathibitisha kuwa ukubwa wa pua si wingi wa kamasi

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.

Umesomeka mama, mkisha hemka nyie kuwatuliza inatakiwa nguvu ya ziada na pia sio busara kubishana na watoto wa kike
 
Natumai akishinda kenyatta mkulu wetu ajiandae kusikia matokeo ya uchaguzi yakitangazwa na ikawa toka kenya.....MUNGU SAIDIA KENYATTA ASHINDE PIA NAOMBA UHAI NA AFYA NJEMA NIONE PICHA LA MWAKA 2020 UCHAGUZI WA TANZANIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona majibu yapo wazi 2020 ccm madarakani hamna cha kupinga nchi hii haiwezi ongozwa na vichaa wa ukawa
 
Kwa mujubu wa hiyo taarifa ya gazeti la Standard la Kenya, inathibitisha kuwa...
1/Muungano wa NASA wamefunga kituo cha kujumlishia matokeo Tanzania. Sasa maswali yanayozuka...
-Kwanini iwe Tanzania?
-Je, Sheria za Tanzania zinaruhusu hilo jambo?
-Je, sheria za Kenya zinaruhusu hilo jambo?
-Nini kinaweza kutokea ikitokea matokeo yakapishana baina ya Kituo cha Kenya na Kituo cha Tanzania?

2/Ni kweli Raila Odinga ni rafiki wa karibu na Magufuli, na toka zamani, Magufuli amekuwa akiinga mkono harakati za Raila Odinga kuwa rais wa Kenya. Na wakati huo huo Uhuru Kenyata ni adui wa Magufuli. Maswali yanayoibuka....
-Je, urafiki/Uadui huo una athari zipi katika uchaguzi wa Kenya?
-Nini faida au hasara za urafiki/Uadui wa namna hiyo katika uchaguzi wa Kenya?

Kwa sasa tuweke Akiba ya maneno, tujipe Muda kidogo tu, Picha nzima itakuwa wazi.
Mbichi na mbivu zitajulikana.
 
Kigezo kipi kinakufanya uamini mimi ni Mkenya?,
inaonekana wewe ni mtoto sana wala hujui influence ya Tanzania kwenye hizi nchi za maziwa makuu,
Sio kila kitu kisemwe, hivi unajua history ya Maraisi wa Uganda Rule, Binaisa, Obote?, hivi unajua issue ya Kabila Baba, John Garang, Bakili Muluzi nk? Ni ajabu kwa Kiongozi wa Tanzania kumsupport Raila?

Acha zako hizo myth.
Tanzania itawashikia mikono wakenya wanapopiga kura? Na hata hivyo Tanzania hakuna expert wakuingilia mitambo ya Kenya akaiweza. Sasa influence itakuwa vipi?

Yani hawa jubilee wanaiga propagada za Klinton dhidi ya Putin, yani ujinga mtupu.
 
Kilichoongelewa kingine na wewe unachoongea kingine, sijui wabongo huwa tuna akili za namna gani, yaani umeamua kujitengenezea hoja na kijijinu, nje kabisa ya hoja iliyowasilishwa
 
Acha porojo wewe. Kapige hicho kituo ukilete hapa acha mambo ya zamani wewe.

Utakapo takiwa kuthibitisha usiogope peleka ushahidi mahakamani

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
Acha zako hizo myth.
Tanzania itawashikia mikono wakenya wanapopiga kura? Na hata hivyo Tanzania hakuna expert wakuingilia mitambo ya Kenya akaiweza. Sasa influence itakuwa vipi?

Yani hawa jubilee wanaiga propagada za Klinton dhidi ya Putin, yani ujinga mtupu.

Wacha poor mind yako ikuangamize we mwenyewe huwezi kuleta mafundisho ya Shetani mioyoni mwa watanzania

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.

Kiko wapi sasa?, hivi mlishindwa kujiuliza ni kwa nini katika majirani wote wa Kenya ni Tanzania pekee ndio itajwe kwenye huo uchafu?

Muwe na akiba ya maneno

Raila Odinga: Kituo tunachoweka Tanzania ni cha kulinda kura zetu zisiibiwe
 
Back
Top Bottom