Unalazimisha tu kufuatilia magazeti yenu, ulimsikiliza Odinga? Odinga alisema tallying centers wanazo lakini zimo Kenya. Tafuta hata YouTube achana na magazeti ya chadema uchwaraKiko wapi sasa?, hivi mlishindwa kujiuliza ni kwa nini katika majirani wote wa Kenya ni Tanzania pekee ndio itajwe kwenye huo uchafu?
Muwe na akiba ya maneno
Raila Odinga: Kituo tunachoweka Tanzania ni cha kulinda kura zetu zisiibiwe
Live handedKaka uwe na Akiba ya Maneno
Raila Odinga: Kituo tunachoweka Tanzania ni cha kulinda kura zetu zisiibiwe
Unalazimisha tu kufuatilia magazeti yenu, ulimsikiliza Odinga? Odinga alisema tallying centers wanazo lakini zimo Kenya. Tafuta hata YouTube achana na magazeti ya chadema uchwara
Kwasababu wewe ni CHADEMA, kamsikilize Raila alivyosema siyo kutuletea udaku wa CHADEMA hapa wakati tumemsikiliza Raia live.Unamaanisha nini kusema magazeti yenu? Kwa nini unalazimisha kuwa kila mtu ni Chadema?
Kwasababu wewe ni CHADEMA, kamsikilize Raila alivyosema siyo kutuletea udaku wa CHADEMA hapa wakati tumemsikiliza Raia live.
Sio wakenya wamechoka ujirani mwema , bali ni ukweli "sisi" Watanzania tunawaingilia kwenye kwenye mambo yao ya ndani ya kisiasa, Rais wetu anamsupport Raila kwa mawazo, maneno pamoja na vitendo
Toa upupu we nyumbu, na Lowasa anamsapoti kwa nyenzo gani?! Afterall kama Jublee hawana mpango wa kuiba kura, hofu ya nn hata kama kuna kila kona ya dunia?!