Jubilee reacts as NASA insiders say Tanzania tallying centre complete

Jubilee reacts as NASA insiders say Tanzania tallying centre complete

Tanzania mnapaswa kujifunza kwa wenzenu,wanatumia gharama kubwa kulinda kura zao na hawasumbuliwi na polisi,demokrasia afrika mashariki iko kenya tu.
 
If that is true then it will bring diplo political conflict btwn parties in Tz and ke ....lets wait and see the outcome
 
Jubilee will win so the rest of discourse is an unfortunate propaganda
 
Unalazimisha tu kufuatilia magazeti yenu, ulimsikiliza Odinga? Odinga alisema tallying centers wanazo lakini zimo Kenya. Tafuta hata YouTube achana na magazeti ya chadema uchwara

Unamaanisha nini kusema magazeti yenu? Kwa nini unalazimisha kuwa kila mtu ni Chadema?
 
Unamaanisha nini kusema magazeti yenu? Kwa nini unalazimisha kuwa kila mtu ni Chadema?
Kwasababu wewe ni CHADEMA, kamsikilize Raila alivyosema siyo kutuletea udaku wa CHADEMA hapa wakati tumemsikiliza Raia live.
 
Sio wakenya wamechoka ujirani mwema , bali ni ukweli "sisi" Watanzania tunawaingilia kwenye kwenye mambo yao ya ndani ya kisiasa, Rais wetu anamsupport Raila kwa mawazo, maneno pamoja na vitendo

Toa upupu we nyumbu, na Lowasa anamsapoti kwa nyenzo gani?! Afterall kama Jublee hawana mpango wa kuiba kura, hofu ya nn hata kama kuna kila kona ya dunia?!
 
Back
Top Bottom