Jubilee Wamesha Vuruga Katiba Ya Kenya

Ilibidi kikosi kizima cha tanzania 'special forces' kuzuiliwa kambini wakati kwa kufanyia watoto wa watu unyama, aibu tupu..

 
Japo kuwa nia ni kutegua hichi kitendawili cha kisisaa, lakini Jubilee wametumia mabavu bila kujali wenzao wa upande wa pili NASA.
Kweni huku kwetu mbona wapinzani wanaburuzwa,hata bunge letu kweni likoje?
 
Ilibidi kikosi kizima cha tanzania 'special forces' kuzuiliwa kambini wakati kwa kufanyia watoto wa watu unyama, aibu tupu..

View attachment 610093
Nemesema Tanzania sio DRC, kilichitokea DRC haijatokea Tanzania. Kwani KDF wakiwa Somalia wanawapikia chai Al shabbab? Au umesha wahi kuna kikosi cha jeshi la Marekani kinafanya unyama ndani ya Marekani?

Kwanza unapotosha mada, hapa tunazungumzia unyama wa serikali kupitia polisi ndani ya nchi. Huwezi kulinganisha polisi wa Kenya na Tanzania ikija kwenye usalama wa raia.

 
Kweni huku kwetu mbona wapinzani wanaburuzwa,hata bunge letu kweni likoje?
Ukirudi nyuma kwenye post namba 16 utaona nimesema kwa sheria kama hii, Kenya inakuwa haina tofauti na Tanzania. Nikimaanisha kama bunge limepitisha sheria ya upande mmoja, na kubadili sheria kuipa serikali nguvu zaidi ya vyama vingine.
 
Hapa kinachosemwa ni mauaji sio kubaka, pili kama ni ubakaji walifanya huko DRC sio Tanzania kwa hiyo hawapo katika utawala wa serikali ya Tanzania, Kenya kamwe msizungumze lolote kuhusu brutality na mauaji ya kiholela yanayofanywa na serikali, Kenya inaongoza Afrika katika unyama huo, na ni miongoni mwa nchi zenye usalama mbaya sana duniani, hayo ya maandamano yanafaida gani kama mkiandamana watu wanauliwa kama mbwa na hakuna hatua inayochukuliwa.

Kuna mwandishi mmoja wa habari anaitwa Mwangosi aliuliwa na polisi mwaka 2014, yule polisi alihukumiwa kifungo cha miaka 15 na amefukuzwa kazi, kamwe halitokei hilo Kenya, polisi Kenya wanauwa waandamanaji kama wanawinda wanyama kule Tsavo na hakuna anayewajibishwa, usizungumze lolote kuhusu hilo, ninyi mumezoea kufa hovyo, huo sio ushujaa ni ujinga.
 
pia class struggle ndiyo inayowaua. maana kuna watu wamekata tamaa mpaka hawaoni tofauti iliyopo kati ya uhai na kifo. yaani wamekata tamaa kabisa. wanaona wakikuyu wakila bata huku wenyewe wakiwa katikati ya dimbwi la umasikini. ndiyo maana wameapa kuandamana mpaka kieleweke na liwalo na liwe.
 
NASA wana mambo ya kimaku sana. Uhuru anamuendekeza Odinga angekamata na kumshugulikia kama Moi alivyompasua pumbu kwa mateso ili aache kidomodomo
 
Mimi nimeshasema, the only difference between us and you is because most of you are too much of pussies to openly defey the ccm govt, that's it... So their is no reason to warrant extreme action from police.... Lakini zile siku wengine wenu hukosa adabu hua mnaomyeshwa cha mtema kuni



 
Mbona husemi huyo aliyeuliwa ni nani na ilitokea wapi? kama ni jambazi hiyo inakubalika, kuhusu hao wengine kupigwa na polisi, hatujasema hayatokei Tanzania, ila ni kwq kiwango kidogo ukilinganisha na Kenya, kuhusu polisi kuua, kwa Tanzania sio jambo la kawaida kama ilivyo huko Kenya, na ikitokea utaona reaction ya wananchi na polisi aliyefanya hivyo lazima ashughulikiwe, japo mwandamano yanazuliwa na polisi, lakini ni mara chache kusikia mtu amepigwa risasi na kuuliwa wakati wa maandamano, huko Kenya maandamano yakiisha bila mtu kuuliwa basi hayo siyo maandamano, Kenya ipo nyuma sana katika Police brutality, katika Afrika nzuma, hata Burundi is better ukilinganisha na Kenya
 
One person killed as anti-IEBC protests continue in Kisumu

Hivi ni lazima polisi wauwe mtu ndiyo ijulikane wao ni polisi huko Kenya, makundi ya kupigania haki za binadamu yameripoti kwamba takriban watu 70 wameshauliwa na polisi tangu uchaguzi ulipofanyika hadi leo, 90% Wajaluo, wakiwemo watoto wadogo, jirekebisheni acheni kujiteteq mambo yaliyo dhahiri, katika hili usijilinganishe na Tanzania kabisa
 
Badilikeni acheni ukaidi, hata wahutu na watutsi wamebadilika wameamua kuachana na huo ujinga, au na ninyi hadi watu kuanzia milioni moja hadi wafe ndiyo mtaacha?, wale mliochinja 2007 hawatoshi?, acheni hizo.
 
Defey for what, hatujawaki kuona Kenyan you guys defey the government halafu mkashinda. Most of the time inaishia na lost of lives huku aliyekuwa madarakani anaendekea kuwa rais. It happen durung Moi time, it has happen na Kibaki na sasa Uhuru itakuwa hadithi ni ile ile.
 

wewe ni mpumbavu sana. unaleta habari za kijinga kijinga hapa. hivi unajua yanayojiri kisumu na kambi zingine za kina kalonzo?? unajua wakenya wanyonge wangapi wamepoteza uhai tangu matokeo yalivyotangazwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…