He, eti 1990's ...juzi juzi tu mmetuonyesha vile polisi pamoja na jeshi ni wanyama kupindukia, kutoka kwa kubaka watoto Kule drc, operation tokomeza.
View attachment 610029 View attachment 610030
Tofauti ni kwamba wananchi wa Tz wamenueshewa sana miaka kwenda miaka rudi Tangu siku za maji maji hadi hio miaka ya 1990's kiasi cha kuwa wazazi wamerithisha watoto uoga wa kupigania haki na wanachokiamini kuwa sawa.
Ukweli ni kwamba upinzani Tz hauwezi ukafanya vile upinzani kenya unafanya, kwanza vituo vya Jabari vitakavyo patia airtime upinzani vitafungwa, hakutakua na hata picha moja itakayoonyesha maandamano kwa social media, alafu wananchi wenyewe watakua waoga kujitokeza kumpinga magu wazi wazi.... Hata wale anti-riot police hawatakua na kazi manake wananchi wenyewe waoga kama nini