Jubilee Wamesha Vuruga Katiba Ya Kenya

Jubilee Wamesha Vuruga Katiba Ya Kenya

Mwanzi1

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
6,000
Reaction score
4,589
Inasemekana rais Uhuru Kenyatta ameshaweka saini na kukubali mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, na kufanya chama chake na yeye kushinda uchaguzi ujao.

Hakuna katiba mzuri duniani. Katiba mzuri ni hile ile inayokupendelea wewe. Hii ndio katiba nzuri. Kama aikupendelei kaa mbali nayo. Ndio hii ya kenya
Waswahili husema malipo ni hapahapa duniani, pia husema ukisema uwe unabakisha akiba ya maneno, sasa katiba hii ilivyosifiwa uzuri, mbona hata jua halijazama tayari imeshaanza kuwekewa viraka?,
 
Wakenya bhana.. mnaendelea kujichanganya, mnakwenda mbele hatua 10 na kurudi nyuma hatua 18.. lakini nawapongeza kwa kuendekea kusubutu kwenye mambo ya nchi yenu. Ukweli mtapigana na kuuana sana lakini baadae mtapata njia nzuri ya kuishi kwa kuheshimiana.
 
Unakuta kuna watu wanakwambia Kenya kuna democrasia kweli!!
Hapa naona nguvu ya mamlaka ikitumika
na kunauwezekano wa kutokea Machafuko zaidi
Annael MOTOCHINI
Mlifahamu kwamba mmeshindwa na kwamba wenzenu watalitawala Bunge kwa kipindi cha miaka 5 ijayo! Na kwamba watakuwa na uwezo wa kubadilisha Katiba bila tatizo bungeni. Bado mkawachokoza. Sasa hayo ndiyo majibu yenu mtulie mnyolewe!
 
Sidhani kama wanaweza kubadili katiba, kutokana na wingi wao haujafikia kiwango cha kubadili katiba (Super Majority). Lakini wanaweza kubadili kanuni na sheria zinazo linda katiba, kwa maneno mengine wanauwezo wa kunyofowa nguzo zinazo ibeba katiba.
 
Waswahili husema malipo ni hapahapa duniani, pia husema ukisema uwe unabakisha akiba ya maneno, sasa katiba hii ilivyosifiwa uzuri, mbona hata jua halijazama tayari imeshaanza kuwekewa viraka?,
Hakuna katiba yeyote duniani iliyo kamili, changes and modifications make it better...it is not cast on stone or rather rigid.
 
Kwa maneno yako haya ni sawa na kukiri kwamba hakuna katiba nzuri wala mbaya duniani, zote zina uzuri na mapungufu yake, ni sawa?
 
Wameveruga Sheria Mwanzi1 wala sio katiba kubadilisha katiba Unafaa uite referendum....hyo sheria mtu yeyote anaweza enda kortini na ai pindue hata Rais akiweka saini yake haitajalisha ....know the difference .....hata kumtoa Chief justice Uhuru ni mpaka aitishe Kura hawezi ambia Ikulu ama Bunge imtoe haina uwezo...ngoja uone by 26th hyo sheria na vipengele waluo ongeza itakuvutiliwa mbali!!...tayari upinzani ushaenda kortini!!!...hakutakuwa na Kura hata hivyo!!!!

Kuna difference kati ya

1. SHERIA

2. KATIBA

angekuwa amebadili katiba kenya wakati huu hakunge kalika .....hyo ni Sheria amebatili

Kama sheria haiambatani na kanuni zilizo wekwa katika katiba mtu anaenda kortini na kuweka kesa yake na ku convince ma jajii kuwa sheria hyo haiambatani na katiba ya nchi ...basi inambidii amfanye jaji aelewe akielewa anatoa uamuzi wake iwapo sheria hyo itatumika au laaa....

Okiya omtata ambaye ni civil activist ameenda tayari Kortini kuitupilia mbali sheria hio....

Hata bado Uhuru hajaiweka saini yake kwa sheria hyo!!!...

Kubadilisha Katiba nchini Kenya utahitaji

Kura ili ujur maoni ya watu.....

Jinsi ya Kupata Kura ni Kuchukua

Saini ya watu
Millioni moja na ID number zao na Kusubmit kwa IEBC for Referendum au

Kuchukua Kesi yako kwa Bunge na kupata Kura 2/3 ya wabunge wote lower na Upper house alafu ndio uende tena kuitisha kura ya maoni Elections....

Hakuna kitu ya maana Uhuru amefanya that is why no opposition leader recognises anything he has done since nullyfication ...akipoteza kiti chake ako liable yo criminal amd jail terms kwa amount of breaches amefanyia Katiba

Na hyo ndio inamwogopesha juu akipoteza kiti yake Utaona more than 30% of Jubilee mps go for criminal hearings to answer for the breach they have done on constitution kama
~Kubadilisha sheria peke yao bila wapinzani
~kutumia ma katibu wa wizara kupiga kampaign
~kutumia statehouse kupiga campaigns
~kuambia wakenya wasilipe kodi kwa serikali ya kaunti ya mombasa
~kutumia wizara za serikali vibaya kama polisi
~kupandisha na kushukisha bei za unga atakavyo.

Anyway wacha akazane Kenya tutaona miezi moto zijazo nina uhakika Uhur hatakuwa Rais wangu more than a Year from now...hata akwamilie aje hatoweza.......Jela na ICC ndio wanafaa waende na wabunge wao kadhaa kujibu mashtaka ya uuwaji kwa kutumia polisi, kupoteza pesa za umma etc!!!!

Yote nayosema Mwanzi1
Uhuru hana nguvu za kubadilisha katiba Kenya

Ila ni sheria amebadilisha
 
Angalia hapo juu, kuna jamaa nimemjibu hili jana. Usitufanye kama hatujuwi tofauti ya sheria na katiba. Hata Huku kwetu Tanzania hayo mambo yamejitokeza jinsi Magufuli alivyo mteua katibu wa bunge.

Lakini ukiacha na hayo, mpaka tunaongea sasa Jubilee wamebadilisha sheria ya uchaguzi na kuifanya kama ya Tanzania. Ukidhulumiwa kwenye uchaguzi wa rais, hauna tena mahali pa kukimbilia. Sasa je kama katiba inaruhusu kulalamika, hiyo sheria itaibada katiba na ndio maana ya indirect constitution change ambayo Jubilee wamefanya kwa kutimia "Simple Majority" yao bungeni.
 
Inasemekana rais Uhuru Kenyatta ameshaweka saini na kukubali mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, na kufanya chama chake na yeye kushinda uchaguzi ujao.

Hivi wajuzi wa sheria tusaidiane kidogo kuhusu hili. Jee rais ambaye matokeo ya uchaguzi yamebatilishwa naye anapobaki kama mwangalizi mkuu wa serikali katika kipindi cha mpito anaweza kufanya maamuzi kama alivyofanya rais wa Kenya?
Ninahisi kuwa hili nalo linaweza kuleta mgogoro zaidi wa kikatiba kuliko ilivyo hivi sasa.
 
Angalia hapo juu, kuna jamaa nimemjibu hili jana. Usitufanye kama hatujuwi tofauti ya sheria na katiba. Hata Huku kwetu Tanzania hayo mambo yamejitokeza jinsi Magufuli alivyo mteua katibu wa bunge.

Lakini ukiacha na hayo, mpaka tunaongea sasa Jubilee wamebadilisha sheria ya uchaguzi na kuifanya kama ya Tanzania. Ukidhulumiwa kwenye uchaguzi wa rais, hauna tena mahali pa kukimbilia. Sasa je kama katiba inaruhusu kulalamika, hiyo sheria itaibada katiba na ndio maana ya indirect constitution change ambayo Jubilee wamefanya kwa kutimia "Simple Majority" yao bungeni.

Kama sheria ya uchaguzi ya kenya inakinzana na sheria mama ya nchi yao kenya. Basi sheria hiyo ni batili.
 
Hivi wajuzi wa sheria tusaidiane kidogo kuhusu hili. Jee rais ambaye matokeo ya uchaguzi yamebatilishwa naye anapobaki kama mwangalizi mkuu wa serikali katika kipindi cha mpito anaweza kufanya maamuzi kama alivyofanya rais wa Kenya?
Ninahisi kuwa hili nalo linaweza kuleta mgogoro zaidi wa kikatiba kuliko ilivyo hivi sasa.
Jibu jepeasi ni ndio rais anaweza. Kwa undani zaidi, sheria hii imebadilishwa na bunge na sio rais, lakini ili sheria kuwa sheria, rais lazima aidhinishe kwa kuiwekea saini. Tukumbuke rais aliye madarakani hata kama ni kipindi cha mpito ana mamlaka kamili mpaka dakika ya mwisho ambapo rais mwingine anapishwa.
 
Kama sheria ya uchaguzi ya kenya inakinzana na sheria mama ya nchi yao kenya. Basi sheria hiyo ni batili.
Uko sahihi lakini inetegemea na angle gani unayoangalia. Hii ni kama haya yaliyotokea kuhusu katibu wa bunge la Tanzania. Kwamba katiba inasema hivi huku sheria inasema vile.

Sheria iliyobadilishwa inapunguza vipengele vinavyo kuruhusu kutumia katiba kama kigezo cha malalamiko ya kiuchaguzi. Ndio maana nikasema nguzo za katiba zimenyofolewa na Jubilee kitu ambacho ni kama kubadili katiba. Tume ya uchaguzi haina haja ya kuhakikisha kwa mtu yoyote uhalali wa nakala za 34A au 34B, kama mitambo ya uchaguzi imekufa, tume inaweza kukuhesabu kwa mkono na matokeo kukubaliwa. Tume inaweza kutangaza matokeo hata kama haina matokeo yote. Pamoja na mabadiliko mengine, zamani ulikuwa unaweza kwenda mahakamani na kufungua kesi kama unavigezo kama hivyo hapo juu, lakini kwa mabadiliko haya, kukiwa na mchezo mchafu, ndio basi tena hakuna pa kukimbilia. Katiba imepunguziwa nguvu ya kukubali malalamiko, na ndio maana NASA wakaisusa hiyo sheria na kuwaachia Jubilee waipitishe wao peke yao.
 
Back
Top Bottom