Judgment Day: May 21, 2011 (Really?)

Afrodenzi huwa unaniacha hoi kwa comments zako, ful of comics ahaaa haaa haaa, kazi kweli kweli!

Napenda unavyozipenda
asante dear..

Kama hii kitu ni kweli
hao wanaoishi huko
Watakuwa wakwanza..
Hopeful we uko hapa TZ ..
 
Nashindwa kuelewa kuhusu hizi tabiri za mwisho wa dunia, sifahamu kama hawa watabiri wana mawasiliano ya moja kwa moja na huyo atakayeimaliza dunia, yaani MUNGU kwa mana kwamba kila akibadilisha mawazo anawaeleza?. Pili, Kijiografia mataifa au sehemu mbali mbali duniani zinafautiana kwa masaa, tarehe na siku kwa maana kwamba kuna sehemu ambazo tarehe 21/05/21 au kama ilivyobadilishwa kuwa 22/05/2011 itafika mapema kabla ya sehemu nyingine, sasa swali langu ni kwamba hizo sehemu zitaangamia kabla ya nyingie? Na kwa maana hiyo kwa kuwa tuna marafiki zetu katika maeneo kama China, Austarlia na mengine mengi ambayo yako mbele kwa masaa au siku, yataangamia kabla yetu wakati sisi tukisubiri tarehe 21/22/05/2011 ifike?
 
Uhakika wa mambo haya bado ni mdogo sana, kufupi swala hili lipo kiiman zaidi!
 
Hapa nilipo kesho kutakuwa na mvua za rasharasha.
 
mwisho wa dunia mbona ulishapita? hapa tunaishi kwenye kipindi cha mpito tuu
 
Sasa isipokuwa mwisho wa dunia ... bible itakuwa imekosea ..?! maana viongozi wetu wanatoa ushahidi kutoka ndani ya bible! je vipi kuhusu zile nchi tulizopishana nazo siku nzima! mwisho wa dunia kwao utatangulia....!?

Dini bana!...
 
On Saturday May 21st, the world will experience what Harold Camping has predicted a Global Earthquake to be the Greatest Earthquake ever. Camping’s Prophecy Predictions have been proven incorrect in the past, but he has learned from the mistake he made in 1994, and is confident about the date of May 21 2011. If the earth starts to shake on May 21 Doomsday, how will you react?

Huyu babu wa miaka 89 Harold hana ishu. Cha muhimu kila wakati tutubu na kutenda mema ili ukifika umuone Mungu.
 
hahaha... leo tarehe 20.. ijumaa!! usiku huowa nashinda club hadi hadi asubuhi... tehetehe!!! mwisho wa dunia utanikuta siku mbaya ! NIMEZIMA!
 
Jamani wanajanvi kuna yule jamaa aliyetabiri kua leo ijumaa ndio mwisho wa dunia je ni saa ngapi utakua ndio mwisho wa dunia leo ijumaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…