na weye umejuaje kama S.W ni uarabu.
Sahihisho
Walisema tarehe 21 na siyo 22.
Kenya kuna mzee ambaye ameamini kiasi cha kuuza kila alicho nacho na kuiacha familia yake yenye watoto wa kutosha na mke mjamzito wakiishi kwa soda na biscuits.........tena ikisha akamwambia mkewe ni bora akaahirisha kwanza kujifungua ili akajifungulie Mbinguni. Mwe!!
ndugu kuna habari zimeenea na zimetawala ktk vyombo vya habari huko majuu hususani Marekani kua mwisho wa dunia ni mwezi huu ktk tarehe hyo hapo juu, kifupi utabiri wa tarehe hii ya tukio umeanza toka mwaka 2000. Kwa mahojiana yaliyofanywa na chombo fulan cha habari kwa wachungaji na viongozi wa kidini hili jambo limeonekana geni sana na wachungaji wengi wameonyesha kutojua kinachoendelea. Je nyie wanaJF mpo? JIANDAENI KWA HILO, ZIMEBAKI SIKU 2.
ulijuaje kua ni kiarabu kama wewe sio muarabu?--kama hujaelewa "stand back and observe"
Ndio ni kweli ndugu,mimi naenda benk kuchukua hela zangu zote
ni tar 21 /5 mimi nimeangalia kipindi kimoja kwenye tv za majuu , naona inabadilika badilika hawachelewi kuiahirisha
Nasikilizia Australia nianze kutubu dhambi zangu fasta.
lazima nikafie kanisanni.
Ndio ni kweli ndugu,mimi naenda benk kuchukua hela zangu zote
Mbu unafanya mchezo na hela nini...ziache tu benki, zitakufaa utapofufuliwa!