Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 806
ndugu kuna habari zimeenea na zimetawala ktk vyombo vya habari huko majuu hususani Marekani kua mwisho wa dunia ni mwezi huu ktk tarehe hyo hapo juu, kifupi utabiri wa tarehe hii ya tukio umeanza toka mwaka 2000. Kwa mahojiana yaliyofanywa na chombo fulan cha habari kwa wachungaji na viongozi wa kidini hili jambo limeonekana geni sana na wachungaji wengi wameonyesha kutojua kinachoendelea. Je nyie wanaJF mpo? JIANDAENI KWA HILO, ZIMEBAKI SIKU 2.