Judgment Day: May 21, 2011 (Really?)

Judgment Day: May 21, 2011 (Really?)

Habari zenu ndugu zangu great thinkers! kwanza kabisa poleni na shida/taabu mbalimbali ya dunia hii, Ok baada ya salaam hizo leo nimekuja na hii hoja baada ya kusikia habari zikienea sana mitaani toka kwa mapaparazi wanaojiita wao ni makachero wa mbinguni wakidai mwisho wa dunia ni 21/5/2011, sasa sijui kama kuna ukweli wowote wa hili jambo?

mkuu ... mbona hujatoa ushauri tufanyeje...? au ndio ponda raha kufa kwaja
 
Habari zenu ndugu zangu great thinkers! kwanza kabisa poleni na shida/taabu mbalimbali ya dunia hii, Ok baada ya salaam hizo leo nimekuja na hii hoja baada ya kusikia habari zikienea sana mitaani toka kwa mapaparazi wanaojiita wao ni makachero wa mbinguni wakidai mwisho wa dunia ni 21/5/2011, sasa sijui kama kuna ukweli wowote wa hili jambo?

Yale yale ya Kibwetere wa Uganda....................
 
jeykey utakuwa banned muda si mrefu.

halafu jitihada, mwisho wa dunia ni siku unayokufa....kwa hiyo kila mtu anamwisho wake wa dunia...sasa kama hao mapaparazi wankuambia wewe huo ndio mwisho wa dunia, basi jitahidi uwe makini siku hiyo.
 
SOMA MATHAYO 24

'' Wanafunzi wake wakamwendea wakamuuliza Bwana ni lini siku ya kuja kwako au Mwisho wa Dunia?
'' Akawajibu asiwadanganye mtu.
>watakuja wengi kwa jina langu
>Watakuja manabii wa uongo
>watawadanganya wengi yumkini kama wateule
> Watasema yuko huku yupo kule
> Msiwaamini hao

>>Kutakuwa na vita mahali na mahali
>>Ufalme kupigana na Ufalme
>>Taifa kupigana na taifa
>> Huo ndio mwanzo wa Uchungu!!!!!
>>Watu watakuwa wenye kupenda fedha kuliko kumpenda Mungu
>> Watawachukiwa wa kwao
>> Watoto hawatawahesimu wakubwa
>> Mioyo ya wengi itapondeka
>>Kutakuwa na njaa mahali na mahali

PALE MTAKAPOONA CHUKIZO LA UHARIBIFU LINAINGIA PATAKATIFU PAKE MJUE ULE MWISHO UMEKARIBIA
>> Ndipo aliyeko shamba asirudi nyumbani
>>Aliyepo nyumbani asiende sokoni
>>aliyepo darini abaki huko huko
>>>Aliyepo Tanganyika asiende Zanzibar
>>>Aliyepo Zanzibar asije Tanganyika

MWENYE KUSIKIA NA AFAHAMU MANENO HAYA!

Mkuu umechakachua
 
Habari zenu ndugu zangu great thinkers! kwanza kabisa poleni na shida/taabu mbalimbali ya dunia hii, Ok baada ya salaam hizo leo nimekuja na hii hoja baada ya kusikia habari zikienea sana mitaani toka kwa mapaparazi wanaojiita wao ni makachero wa mbinguni wakidai mwisho wa dunia ni 21/5/2011, sasa sijui kama kuna ukweli wowote wa hili jambo?

Mwisho wa dunia ni siku utakayokufa wewe kama walivyokufa wengine ndio ulikuwa mwisho wao. Hii dunia ipo tuu.
 
For many will come in My name, saying, ‘I am the Christ,’ and will deceive many. 6*And you will hear of wars and rumors of wars. See that you are not troubled; for all these things must come to pass, but the end is not yet. 7*For nation will rise against nation, and kingdom against kingdom. And there will be famines, pestilences, and earthquakes in various places. 8*All these are the beginning of sorrows.

9*“Then they will deliver you up to tribulation and kill you, and you will be hated by all nations for My name’s sake. 10*And then many will be offended, will betray one another, and will hate one another. 11*Then many false prophets will rise up and deceive many. 12*And because lawlessness will abound, the love of many will grow cold. 13*But he who endures to the end shall be saved. 14*And this gospel of the kingdom will be preached in all the world as a witness to all the nations, and then the end will come.
 
Habari zenu ndugu zangu great thinkers! kwanza kabisa poleni na shida/taabu mbalimbali ya dunia hii, Ok baada ya salaam hizo leo nimekuja na hii hoja baada ya kusikia habari zikienea sana mitaani toka kwa mapaparazi wanaojiita wao ni makachero wa mbinguni wakidai mwisho wa dunia ni 21/5/2011, sasa sijui kama kuna ukweli wowote wa hili jambo?

Nabiii wa uongo= Sheikh yahya
 
Huyo anaesema tarehe hiyo ni mwisho wa dunia atakua mtu wa 4,538,653 kutabiri hivyo. But we are still here..
 
Mkakati wa Iluminanti kukatisha tamaa watu wa Mungu, ili huyo Jesus Josito asipokuja hyo siku uovu uongezeke maradufu, itakuwa kama fungulia mbwa. Wanaoeneza huo uvumi ni Family Radio ya Amerika chini ya Mchungaji kiongozi Harold Camping. Kwa taarifa ni kuwa hawa jamaa walishawahi kutoa madai kama hayo mwaka 92, siku ikafika, hakuna kilichotokea, watu wakaendelea kula bata kama kawaida. Tuwe makini watu wa Mungu, sidhani kama mungu angependezwa na jitihada za mwisho za wanadamu, ila mabadiliko ya kweli ndani yetu. Hata Yesu alikana kujua siku wala saa(usiniulize andiko)
 
Habari zenu ndugu zangu great thinkers! kwanza kabisa poleni na shida/taabu mbalimbali ya dunia hii, Ok baada ya salaam hizo leo nimekuja na hii hoja baada ya kusikia habari zikienea sana mitaani toka kwa mapaparazi wanaojiita wao ni makachero wa mbinguni wakidai mwisho wa dunia ni 21/5/2011, sasa sijui kama kuna ukweli wowote wa hili jambo?

hamna anayejua mwisho wa dunia, hio ni siri yake mwenyewe Mungu, hata malaika mtoa roho hajui lini siku ya mwisho.
 
imeandikwa keshini mkiomba kwa maana hamuijui siku wala saa
 
chadema ndo wanataka kuleta vita?

Chadema ndo chama chakuleta amani na mafanikio ya kiuchumi ktk nchi yetu! Ccm ndo wakorofi wanaoua wananchi wasiokua na hatia eg.yaliyotokea Arusha na sehemu zngne!
 
SOMA MATHAYO 24

'' Wanafunzi wake wakamwendea wakamuuliza Bwana ni lini siku ya kuja kwako au Mwisho wa Dunia?
'' Akawajibu asiwadanganye mtu.
>watakuja wengi kwa jina langu
>Watakuja manabii wa uongo
>watawadanganya wengi yumkini kama wateule
> Watasema yuko huku yupo kule
> Msiwaamini hao

>>Kutakuwa na vita mahali na mahali
>>Ufalme kupigana na Ufalme
>>Taifa kupigana na taifa
>> Huo ndio mwanzo wa Uchungu!!!!!
>>Watu watakuwa wenye kupenda fedha kuliko kumpenda Mungu
>> Watawachukiwa wa kwao
>> Watoto hawatawahesimu wakubwa
>> Mioyo ya wengi itapondeka
>>Kutakuwa na njaa mahali na mahali

PALE MTAKAPOONA CHUKIZO LA UHARIBIFU LINAINGIA PATAKATIFU PAKE MJUE ULE MWISHO UMEKARIBIA
>> Ndipo aliyeko shamba asirudi nyumbani
>>Aliyepo nyumbani asiende sokoni
>>aliyepo darini abaki huko huko
>>>Aliyepo Tanganyika asiende Zanzibar
>>>Aliyepo Zanzibar asije Tanganyika

MWENYE KUSIKIA NA AFAHAMU MANENO HAYA!

Maneno ya Mungu kwenye biblia hayaongezwi wala kupunguzwa! Hayo uliyoyaongeza ya tanganyika na zanzibar ni kubadilisha biblia!
 
Habari zenu ndugu zangu great thinkers! kwanza kabisa poleni na shida/taabu mbalimbali ya dunia hii, Ok baada ya salaam hizo leo nimekuja na hii hoja baada ya kusikia habari zikienea sana mitaani toka kwa mapaparazi wanaojiita wao ni makachero wa mbinguni wakidai mwisho wa dunia ni 21/5/2011, sasa sijui kama kuna ukweli wowote wa hili jambo?

Bwana Yesu anasema kwenye biblia takatifu kuwa hakuna ajuaye siku ya kuja mwana wa adamu(ambayo ndo siku ya mwisho wa dunia Yesu atakapokuja kuwahukumu waliohai na wafu)
 
Back
Top Bottom