Judicial system ya tanzania

Frankness

Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
66
Reaction score
13
Is the judicial system of tanzania an independent one??????
Sytem za uendeshaji wa shughuli za mahakama za tanzania ni system huru?
 
Hakuna uhuru kwani judge mkuu mwenyewe au majudge wengine wana teuliwa na rais hivyo muda mwingine ana weza kupokea order kutoka kwake na asiwe na lakusema hata kama hakubaliana lazima atafata maagizo!

Bora hawa watu wange kuwa wanaomba nafasi na kufanyiwa interview na bunge hii ingesaidia sana kufanya system hii kuwa huru!
 
maoni kama hayo yatiwe kwenye jukwaa la katiba mpya ndugu itasaidia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…