Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maoni kama hayo yatiwe kwenye jukwaa la katiba mpya ndugu itasaidia....Hakuna uhuru kwani judge mkuu mwenyewe au majudge wengine wana teuliwa na rais hivyo muda mwingine ana weza kupokea order kutoka kwake na asiwe na lakusema hata kama hakubaliana lazima atafata maagizo!
Bora hawa watu wange kuwa wanaomba nafasi na kufanyiwa interview na bunge hii ingesaidia sana kufanya system hii kuwa huru!